kuwawezesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana kutumia ardhi kubwa tuliyonayo kwa Kilimo

    Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania NBAA inakomoa watahiniwa badala ya kuwawezesha na kuwasaidia

    Jana napiga story na mdogo wangu ambae anafanya mitihani ya NBAA ananiambia juzi hapa walifanya mitihani migumu hadi wakaongezewa muda kwenye chumba cha mtihani zaidi ya dakika 30. Nikajiuliza kwani NBAA kabla hawatoa mitihani yao hua hawaifanyii moderation kuona kama inaweza kufanyika kwa...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Jitihada zinazotumika kukamata wavuvi ni kubwa kuliko zinazotumika kuwawezesha

    Mhandisi Stella Manyanya amesema jitihada za Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika kukamata wanaotumia nyavu zisizofaa au kwenye masuala yanayohusu ukusanyaji mapato ni kubwa kuliko zinazotumika kuwawezesha Mbunge huyo wa Jimbo la Nyasa amehoji kwanini mikopo ya injini za boti isitolewe kwa mtu...
Back
Top Bottom