kuuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi dunia ina historia ya kuwa na Rais kichaa kama Trump? Sasa anajificha na kuzungukwa na silaha akihofia kuuliwa na muajemi halafu domokaya

    Wakati wa kampeni alipanga kupigwa shaba (kukunwa na shaba) akatamba si muoga, sasa anajificha... Ila kwa kweli huyu jamaa kama si mwehu basi uzee unamvamia vibaya mno na hastahili kubaki ofisini. Nilidhani ni sisi tu Afrika tuna maraisi wazee wang'ang'anizi wa madaraka hata akili...
  2. JamiiForums Tanzania CENTCOM imekiri kuuliwa kwa baadhi ya wanajeshi wa kimarekani kadhaa nchini Jordan baada ya mashambulizi ya makombora balistiki ya Iran usiku wa Jana

    Wanajeshi wawili waliokuwa wanatumikia jeshi la Marekani chini Jordan, wameuwawa kwa makombora ya balistiki ya Iran yaliyovurumishwa usiku wa jana kwenye kambi kadhaa za Marekani Mmoja wa wanajeshi hao haonekani alipo mpaka muda huu Ikumbukwe, jeshi la ulinzi la Jordan ilisema lilifanikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ya watu zaidi 500 kuuliwa na wakakili , inaweza kuwatoa madarakani?

    Wazalendo Hatuhitaji sababu nyingine ya kuwatoa wauaji madarakani, kama ulikuwa hauamini juu ya utekaji labda ulikuwa ukiona watu wanajiteka wenyewe Kwa wenyewe basi itoshe kusema kuwa hatuna sababu nyingine ya kuwatoa Hawa wahuni madalakani watu zaidi ya 500 wameuawa na wamethibitisha kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

    Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ? Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukitetea mambo haya Marekani unajiingiza kwenye 18 za wafuasi wa chama cha Democrats, tegemea kuuliwa, kuumizwa au kuhangaika kama Charlie Kirk

    Haya ni mambo ambayo ukitetea inabidi uanze kuwa chonjo, mfano kwa siku ya leo ni Charlie Kirk kapigwa risasi, Trump alikoswa koswa. wanapoona hoja zako zina uzito na hawawezi kudebate option inayobaki huwa ni kuua, kuumiza, jela au kukuhangaisha sana, -Kutetea mipaka ifungwe kusiwe na uingiaji...
  6. JamiiForums Tanzania Askari wanyamapori auawa na chui Mwanza - wengine 4 wajeruhiwa wakipambana naye - polisi waeleza

    Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao. https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
  7. JamiiForums Tanzania Kwahiyo vijijini mtu anaweza kuuliwa kwa kuiba laptop ya laki mbili !?

    Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili . Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
  8. JamiiForums Tanzania Hii ya fisi 17 wenye chapa kuuliwa sio bure kuna sehemu na namna mitambo ilitingishwa.

    Either kikundi chao walifanyiana civil war wenyewe Or walikuwa hacked/infiltrated/disrupted na adui yao alietaka kuwa expose. Sio kirahisi rahisi hivyo mashine zao kupigwa chini maana hawa jamaa wamefanya hii kazi vizazi na vizazi bila ya kuwa exposed kirahisi rahisi hivi. Inakuwaje mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Hamas aliyetangazwa kuuliwa ajitokeza mitaani kushangilia ushindi

    Miongoni mwa makamanda muhimu Israel iliotangaza kuwaua ni pamoja na Mohammed Deif na mwenzake Hussein Fayyad aliyetajwa kama mtaalamu wa kutengeneza makombora ya Hamas . Huku majaaliwa ya Mohammed Deif yakiwa bado hayajathibitika, mwenzake Hussein Fayyad ameendelea kuonekana kwenye mitaa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mayahudi waambiwe ukweli tu,Kama wana uchungu wa mababu zao kuuliwa na Hitler, basi kama ni sahihi hasira zao wakazitolee kwa wajerumani.

    Wapalestina wote hawakuhusika na chochote katika madhila ya mayahudi kule Ujerumani, Watoto na wagonjwa wanaouliwa kwa makombora kila siku kwa kweli hawakuwepo muda huo na hata hao askari wa IDF nao pia wengi wao wanasoma historia tu sawa na wenzao wa Palestina. Sasa chuki za kijinga na...
  11. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Israel wanazidi kuuliwa huko Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️Habari za asubuhi, wote hawa wamuliwa huko Kaskazini mwa Gaza. 🔻Sajini Orr Katz, umri wa miaka 20. 🔻Sgt. Nave Yair Asulin, umri wa miaka 21. 🔻Sajini Gary Lalhruaikima Zolat, umri wa miaka 21. 🔻Sajini Ofir Eliyahu, umri wa miaka 20...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa tukio la kuuliwa Ali Kibao nawatetea polisi.Ni kundi lenye nia mbaya na nchi

    Sijafuatilia utekwaji na mauwaji ya huko nyuma. Lakini kwa hili na mauwaji ya Ali Mohamedi Kibao nina uhakika vyombo vya usalama havijahusika. Waliohusika ni kundi lenye nia ya kuleta fujo nchini na ni wapinzani wa chama tawala. Waweza kuwa ni wakereketwa wa chama chochote kile cha upinzani na...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kuuliwa watu shuleni, Saudi Arabia yavunja ukimya, yasema vita sasa visimame

    Watu zaidi ya 100 waliokuwa wamejihifadhi kwenye shule ya Tabin pamoja na wale waliokuwa wamejikushanya kwa ajili ya sala ya Alfajiri kuamkia leo wamekufa huku maiti zao zikitapakaa vipande vipande baada ya kudondoshewa mabomu mazito kutoka angani na jeshi la Israel. Japo yametokea mashambulio...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Mauaji yanayohusiana na Jinsia (mauaji ya Wanawake) yanaweza kuchochewa na Majukumu ya Kijinsia yaliyozoeleka, Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana, uhusiano usio sawa wa Kijinsia, au kanuni hatari za kijamii. Licha ya miongo kadhaa ya uanaharakati kutoka kwa Mashirika ya kutetea Haki za...
  15. JamiiForums Tanzania Mazishi ya mtoto anayedaiwa kuuliwa kwa kuchapwa na mwalimu yaahirishwa. Mwili wake unaendelea kufanyiwa uchunguzi

    Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika. Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani haina haki kulipiza kisasi kwa kuuliwa askari wake watatu. Watakutana na wasichokitarajia

    Sergeant William Jerome Rivers, 46, Specialist Kennedy Ladon Sanders, 24 and Specialist Breonna Alexsondria Moffett, 23 Hao hapo juu ndio askari watatu wa Marekani waliokufa kwenye shambulio la Droni huko Jordan na ambao Pentagon imeazimia kulipiza kisasi kikubwa kutokana na vifo vyao. Makundi...
  17. JamiiForums Tanzania Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

    wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo Mada kwa ajili ya wanaume
  18. JamiiForums Tanzania Israel ikikubali kuuliwa askari 10 leo ujue hali imekuwa mbaya kwao

    Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote. Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
  19. JamiiForums Tanzania Kipi chanzo hasa cha Chuki na kuuliwa kwa Wayahudi Ulaya?

    Salaam wana jukwaa! Sina haja ya kueleza kwa kina yaliyowakuta wayahudi, lakini Vitabu vya historia—vya kisekula na kidini—vinaeleza wayahudi walifukuzwa na kuuawa maeneo mengi ya Asia na ulaya, mfano Uajemi, Uyunani, Roma, Hispania, Ufaransa, Urusi, Italia na hatimaye Ujerumani. Nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…