kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. LIGI KUU: Msimamo ulivyo baada ya Yanga kuifunga Azam FC, Simba yazidiwa pointi 14

    Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022. Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara hao wa ligi licha ya kuwa Simba wana michezo miwili mkononi.
  2. Bukoba waendelea kupigwa kalenda stendi kuu ya mabasi, Serikali yasema mpaka itafute fedha

    Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya. Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
  3. Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

    Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
  4. Kenya: Mahakama Kuu yazuia mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba yenye "utata"

    Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010. Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye utata yaliyopendekezwa na Rais Uhuru Kenyatta na washirika wake kabla ya uchaguzi Mkuu mwezi Agosti...
  5. Misimamo ya Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya Zanzibar, Ligi ya Wanawake

    Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake. Chanzo: Mwanaspoti
  6. K

    Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

    Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga...
  7. G

    Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    Wakuu heshima mbele, Binafsi nilikuwa nataka kujiridhisha kwa usahihi zaidi ijumaa kuu ya mwaka huu na pasaka yake itakuwa tarehe ngapi hasa. Ikizingatia jumatano ya majivu ilianza tarehe 2/3/2022 na kwa mfumo uliozoeleka wa mfungo wa kwaresima huwa ni siku 40 na kwa hesabu hiyo ya siku...
  8. Usagara mwanza: eneo sqm 4248 linauzwa. Linatazamana na barabara kuu ya Lami, Buhongwa-usagara

    Hello Jf Hili ni eneo lenye mita za mraba 4,248 limepimwa tayari beacon zipo Hati ipo, inasoma Biashara na Makazi Halina tatizo lolote. Unaweza Weka Biashara yoyote unayoona inafaa (KAMA KITUO CHA MAFUTA), YARD YA MAGARI ama ukajenga makazi BEI ELEKEZI NI 160 million Tshs. mpigie mwenye...
  9. Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu. Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe. Updates ...
  10. Hili ndio soko kuu la samaki Moshi, Mji unaondaliwa kuwa Jjiji

    Hapa ndipo walipohamishiwa Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki kutoka eneo la manyema mbuyuni na kuletwa hapa maili sita. Lengo na kuwahamisha wafanyabiashara hao na kuwaleta hapa ni kile kinachodaiwa kuwa ni katika kuiandaa moshi kuwa jiji na hivyo kuondoa mlundikano wa kuwa sehemu moja...
  11. Dalili za ubingwa kwa Yanga katika Ligi Kuu Bara 2021/22 hizi hapa

    Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne. ● Magoli ya kufunga – 29 ● Magoli ya kufungwa – 4 ● Assists – 21 ● Cleansheets – 13 Je, unadhani hizi ni dalili tosha za ubingwa kwa...
  12. Kamati kuu ya CCM ilipaswa kupendekeza IGP Sirro aondolewe, sio kutathmini mwenendo wa Tanpol. Ukiukwaji wa haki za binadamu umekithiri hapa nchini

    Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi. Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo maovu. Rais Samia alishakiri hadharani kuwa kuna nguvu ya ziada inayotumika na inaleta madhara kwa...
  13. Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

    Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika...
  14. Timu na wachezaji waliokosa penati nyingi Ligi Kuu msimu huu, Simba waongoza

    Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Source: Bodi ya Ligi
  15. Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

    Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
  16. Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  17. Kikosi changu bora mzunguko wa kwanza ligi kuu..

    Hiki ni kikosi bora mzunguko wa kwanza mpaka sasa tumeingia mzunguko wa pili. Djgui diarra djuma shaban kibwana shomary Dickson job bakari mwamnyeto Litombo bangala aucho feisal salum saido ntibazonkiza fiston mayele jesus moloko. SUB : aishi manula, shomary kapombe, Mohamed...
  18. Fahamu aina kuu mbili za Madeni

    AINA KUU 2 ZA MADENI. Tokomeza madeni. Kuna aina kuu mbili za madeni. Aina ya kwanza ni madeni mazuri na aina ya pili ni madeni mabaya. Soma kwa makini ili kujua unaangukia kwenye aina gani ya madeni. Madeni mazuri ni yale ambayo marejesho yake hayatokani na chanzo kingine cha mapato bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…