Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu
Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu.
Niko Marekani wiki ya pili sasa
Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters.
Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata .
Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
Kwenye muvi huwa tunaona watu wanapokaatwa wanaweza kuvumilia mateso makali
Katika maisha halisi utaweza kukaa kimya baada ya mateso ?
kwa upande wangu naweza kuvumilia mateso kama ngumi, mateke, viboko, n.k. lakini kuna baadhi ya mateso nikishaona kuna dalili ya kutumika kwangu sioni nikitoboa
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaonya makarani watakaotoa taarifa za uchaguzi na kuwataka kusimamia viapo vya utunzaji wa siri katika kipindi chote cha uchaguzi.
Onyo hilo limetolewa na Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Njombe Mjini, Samson Meda wakati wa mafunzo kwa makarani waongozaji...
Wapo baadhi ya watu ambao hupenda kujua mambo yanayokuhusu au mambo asiyoyajua; na anatamani kuyajua ila hapaswi kuyajua kwa wakati huo.
Sasa ikiwa wewe ndiye unaulizwa kuhusu jambo au taarifa fulani unayoijua ila hupaswi kuisema kwa huyo anayekuuliza kwasababu ni SIRI; Je utamdanganya kwa...
Hadithi ya kuvutia sana
Soma mpaka mwisho...utajifunza kutunza siri.
Siku moja Mwanaume mmoja mtanashati sana aliingia hotelini na akaomba kumuona bosi. Bosi alipokuja, hadithi ikaanza.
Mteja: Je, chumba namba 39 kiko wazi?
Bosi: Ndiyo, bwana.
Mteja:Naweza kukiomba?
Bosi: Bila shaka unaweza...
Salamu wanajamvii.
Kila mtu ana mambo au aibu ambazo angependa zibaki kwake tu kwa maana zisijulikane kwa wengine.
AmakIkiwa siku siku utabahati Kusikia aibu ya mwenzako basi jizati ubakie nayo, Usianze kuisambaza kwa kila mtu
Leo utaona Sifa kusambaza iabu za watu kesho zako nazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.