kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Si dhambi kama kuna hoja ya msingi Serikali kukiri kuwa kwa sasa 'imepigika' kiuchumi kuliko kutumia 'Misiba' kama utetezi kwa Wananchi

    "Ndugu washiriki kwa busara za mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kufanya uamuzi kwamba mwaka huu tuuadhimishe muungano kwa kufanya kongamano, ameagiza kwamba fedha zilizokuwa zitumike kwenye sherehe ya muungano mwaka huu zitagawanywa kwenda pande zote mbili za muungano na kila upande...
  3. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutumia 'Go Fund Me' nikiwa Tanzania?

    imejiunga na mtandao wa Go Fund Me katika harakati za kujaribu kutafuta fund ya wazo langu la kijamii. Ishu nimekwama nikianza kufanya process ya fundraising nakosa option ya kuweka nchi ya Tanzania. Mliowai tumia go fund ebu nisaidieni.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba kwa kutumia tofali mbichi

    Habarini wadau, Nimetembelea mikoa ya KIGOMA, Rukwa, Katavi na kukuta wao wanapendelea tofali za kuchoma na zile za saruji! Mkoa wa Mbeya wao wanatumia hata tofali mbichi kujengea! Hivi tofali hizi ni imara kweli? Kuna utafiti wowote kuunga mkono uimara wa tofali mbichi za MBEYA?
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi kutumia Twitter kutoa matamko wakati raia hatuna access

    Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?
  6. X

    JamiiForums Tanzania Ujenzi kutumia Interlocking blocks

    Nimeangalia nchi nyingi katika ujenzi wanatumia Interlocking blocks. Je, kwa nini sioni ujenzi huu Tanzania? Kuna mtu anaweza kutujulisha ni unaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi gani hasa wakati huu ambapo gharama za ujenzi zimepanda?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…