UTENGENEZAJI WA INCUBATOR YA KUTOTOLESHA MAYAI
Unapotengeneza homemade incubator, siyo tu kuweka bulb ya joto ndani ya boksi na kutegemea mayai yatotolewe. Mfumo wa kudhibiti joto na unyevu una nafasi kubwa kwenye matokeo ya utotoleshaji.
Kuna vifaa vitatu ambavyo vinaweza kufanya mfumo wa...
Siri kubwa ya kutotolesha mayai kwa mafanikio siyo tu kuwa na incubator – ni kuhakikisha joto (temperature) na unyevu (humidity) viko kwenye viwango sahihi na vimebalance muda wote.
Wakuu habari za majukumu,
Kwanza nianze na maelezo mafupi kuhusu incubator – ni kifaa kinachotumika kutotolesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.