kutotoka nje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    PostGE2025 Mwananchi: Nimepoteza elfu 15, 000 kwa kutotoka nje D9

    Kufuatia agizo la watu kupumzika katika siku ya Uhuru jana, Disemba 9, 2025 Christina Mogela maarufu kama Mama wawili ambaye anafanya biashara ya kuuza mihogo kwa muda mrefu amesema kazi yake iliathirika kwa sababu inamtegemea atoke ndipo ale. Christina ameongeza kuwa akiba kidogo aliyokuwa...
  2. M

    GE2025 Waangalizi wa Uchaguzi wa Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika: Serikali ya Tanzania isitishe amri ya kutotoka nje na kurejesha huduma za Intaneti

    TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
  3. BARD AI

    Kiongozi wa upinzani Gabon atakiwa kutotoka nje ya nyumba yake

    Kiongozi wa upinzani wa Gabon, Guy Nzouba-Ndama, amewekwa chini ya kizuizi cha nyumbani ikiwa ni siku tano baada ya kukamatwa kwenye mpaka wa Congo akiwa na mabegi yenye zaidi ya dola milioni 2. (Tsh. Bilioni 3). Kukamatwa kwake kulirekodiwa na kufunguliwa kwa masanduku hayo kuchapishwa kwenye...
  4. Lady Whistledown

    Sierra Leone yatangaza marufuku ya kutotoka nje huku ikikabiliwa na maandamano makubwa

    Makamu wa Rais, Mohamed Juldeh Jalloh ametangaza amri ya kutotoka nje kwa nchi nzima huku kukiwa na maandamano makubwa dhidi ya Serikali, kupinga kuongezeka kwa mfumuko wa bei na migogoro ya kiuchumi Maafisa wawili wa Polisi wameuawa huku Makumi ya waandamanaji wakishikiliwa katika makabiliano...
  5. Analogia Malenga

    Zimbabwe yarejesha masharti ya kupambana na Corona

    Zimbabwe imerejesha marufuku ya kutotoka nje na karantini za lazima kwa wasafiri wote huku kukiwa na ongezeko la visa vya Covid ili kuzuia kuenea kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron. Nchi hiyo imerekodi zaidi ya visa 130,000 vya Covid na takriban vifo 4,700 tangu janga hilo lianze mapema mwaka...
  6. The Sheriff

    Covid-19: Rwanda yafunga shule, yazuia mikusanyiko ya kijamii, muda wa kutotoka nje waongezwa

    Ofisi ya Waziri Mkuu nchini Rwanda imeamuru kufungwa kwa shule na vyuo vikuu na kuzuia mikutano na mikusanyiko yote ya kijamii, kuanzia Julai 1. Zuio la kutotoka nje kuanzia saa 1 jioni hadi saa 10 alfajiri limebadilishwa na amri ya kutotoka nje sasa itaanza saa 12 jioni hadi saa 10 alfajiri...
Back
Top Bottom