kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini matumizi ya Maikrofoni nyingi kwenye kutoa hotuba za viongozi?

    Kazi ya microfoni ni nini? Mbona viongozi wengine huwa na microfoni nyingi sana mbele yao wakati wakitoa hotuba na wengine huwa na moja au mbili (stereo) tu? Je, wingi wa microfoni husaidia hotuba kuelewka?
  2. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

    MBUNGE AACHIE JIMBO! Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbongwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohijiwa na gazeti...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi kanda ya Dar kuanza kutoa zawadi (Reward For Justice) kwa raia wema wanaofichua uhalifu

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums. JUNE 23, 2021: Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro ametangaza rasmi kuwa Mtu yeyote atakaetoa taarifa sahihi zitakazowezesha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM kumkamata Mhalifu akiwa na silaha mfano; bunduki atatoa...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kutoa mada siku ya Katiba (Katiba Day)

    Katiba Day ni siku ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeandaa kongamano la kujadili umuhimu wa kuwepo kwa Katiba Mpya itakayotokana na Raia wote, pamoja na mjadala huo pia kutakuwa na mjadala wa kuchagiza uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi. Tundu Lissu atakuwa miongoni mwa magwiji...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi naweza kuanzisha biashara ya kutoa huduma ya usafi bila mtaji?

    Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni. Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo? Kwenye hii biashara ya usafi.
  6. JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Jinsi ya Kutoa Huduma ya Kwanza kwa matatizo mbalimbali kabla ya kufika hospitali

    Habari zenu wana JF, Ni wazi kwamba watu wengi hatuna elimu ya kutosha jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa wapendwa wetu pindi wanapopata matatizo mbali mbali ya kiafya kabla ya kuwapeleka hospitali. Wakati mwingine mtu anaweza kupata tatizo litakalomfanya aweze kudumu kwa dakika chache tu bila...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki kutoa video za kubuhusiana zina faida gani?

    Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini? Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
  8. JamiiForums Tanzania Jaffar Haniu na Gerson Msigwa, kubalianeni nani wa kutoa Habari za Rais. Mnatuchosha na kutuboa tu

    Yaani ukifungua Ukurusa wa Haniu unaikuta Habari hiyo hiyo ambayo Msigwa nae ameiweka kitu ambacho nadhani kungekuwa na Utaratibu mzuri tu wa Kiutendaji basi Jukumu hilo angekuwa analifanya Mtu Mmoja pekee. Nadhani (Ushauri wangu Binafsi) hiki Cheo cha Ukurugenzi wa Ikulu kingeongezewa pia na...
  9. JamiiForums Tanzania Natoaje pesa kwenye benki zilizofungiwa?

    Naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benk zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…