kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa Talaka, mume anaruhusiwa kumrudia mkewe?

    Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!? Nawasilisha
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  4. JamiiForums Tanzania Kenya:kuna shaidi aliyetaka kutoa ushaidi kuhusu polisi kufanya mauwaji kwa mtindo wao wasiojulikana naye kafa.

    Polisi waogopeni sio tz wala duniani ni magenge ambayo kama yakikosa utawala bora ndiyo haya. Tukio lemetokea kenya huko kuna shuuda aliona kijana kutupwa mto mmoja kenya na polisi kwenye maandamano kenya yaliyotokea siku chache na yeye mda mda mchache alipotea. Jana alipatikana amefariki.
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DAWASA haiwalipi vibarua kwa wakati suala linalowapunguzia morari

    Nasalimu kwa jina la Jamhuli ya muungano wa Tanzania. Tungependa kutoa dukuduku letu, na malalamiko yetu ambayo yanatokana Manyanyaso na Mateso ambayo yanafanywa na taasisi ya DAWASA (Shirika la Serikali inayo huduma ya Majisafi Dar es Salaam na Pwani). 1. Dawasa ina kawaida ya Kutumia Vibarua...
  6. JamiiForums Tanzania Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  7. JamiiForums Tanzania Tuelimishane, Mipaka yetu ya kutoa maoni ni ipi ndugu watanzania ?

    Happy Muungano Day! Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na lugha inayotusisitiza kutoa maoni bila kuvuka mipaka ya nchi yetu , na hasa ikitolewa na viongozi wa ngazi za juu serikalini. Ni muhimu kama watanzania tukaelimishana au kuelimishwa, ni maoni gani hayo kisheria ambayo tukiyatoa tutakuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya rais Samia: Mkuu wa nchi akitoa hotuba mjitahidi kusikiliza na kutoa ushauri, sio matusi

    Ni bora sisi raia wema tukajikita katika kusikiliza vyema hotuba na baadaye tukashauri. Sio vyema kutoa mwitikio mbaya kwenye mitandao ya kijamii. Hapa ni maoni ya watu kwenye mtandao wa Facebook au Meta. Sina hakika kama hawa ni wanachama wa
  9. JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la macho kutoa machozi

    Macho kutoa machozi mara kwa mara (Epiphora). Kazi ya macho ni kulainisha, kusafisha na kulinda jicho, ikiwa yatazalishwa mengi au ikiwa kitu kitayazuia kutoka vizuri - kunaweza kuwa na tatizo la macho kutokwa machozi mara kwa mara. Tatizo linaweza kuwa la muda, lakini pia inaweza kuwa ishara ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Azim Dewji acha mara moja kutoa hizi ahadi za mfungaji na mtoa assist

    Habari za jioni wakulungwa. Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali, kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge...
  12. JamiiForums Tanzania Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  13. JamiiForums Tanzania Jamani acheni kujihusisha katika kutoa mimba

    Mnaua kiumbe kilichoanza uhai ndani ya mfuko huo ambapo ndipo haki yake ilipo. Usitoe uhai kwa maana tu uliteleza Usitoe uhai kwa sababu unajisikiaga raha ukiwa haujavaa kondomu. ABORTION IS SATANIC
  14. JamiiForums Tanzania Je, nikweli kwamba Rais Samia amemtuma mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro kuwaadhibu walimu watakaoshindwa kutoa hela ya mwenge?

    Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa mwenge (10,000/=) Aidha ameagiza walimu wakuu, wakuu wa shule, na viongozi katika idara ya afya...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kutoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Mitandaoni

    SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae "Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kutoa gari bandarini

    Naomba kueleweshwa gari ambayo unaitoa kutoka Zanzibar ikifika Dar inatumia siku ngapi kukamilika hadi inatoka nje
  17. JamiiForums Tanzania 5imba yaacha ubahili yawaiga Yanga kutoa misaada kwa wahitaji kuelekea mechi muhimu

    Sio jambo baya, Ila mmechelewa sana.
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo la macho, jicho kutoa kinyama juu

    Wakuu kwema? Kuna changamoto hapa jicho limetoa kijipu kina takriban miezi mitatu hakiponi wala hakipotei kama kilivyoadiriwa. Ni dawa gan inatibu hili? Cc. DR HAYA LAND
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Bill Gates inavyo beba kampeni ya Likud kutoa watoto Ems. Kuwarudisha Kayumba

    Bill Gates anasema miaka michache inayo kuja, Akili Mnemba ita wa replace binadamu kwenye kazi nyingi Sana ikiwemo udaktari na ualimu.. Duh kumbe ndio maana LIKUD anasema tusipoteze hela EMS? LIKUD atakuwa mchawi au nabii
  20. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa na kutumia degree za heshima ni huu kwa dunia nzima. Watu wanapenda kuitwa Doctors (Drs) na Professors ( Prof) kinyume na taratibu

    by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education. HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA . 1. Awadees msitumie hizo titles before...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…