kutenda haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Pongezi CCM Kubadili Katiba Kuwatendea Haki Wana CCM, Nini Kilishindikana Kubadili Katiba ya JMT Kuwatendea Haki Watanzania?. Je Huu ni Uzalendo?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
  2. L

    Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan — mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, na nuru ya wanyonge. Ameonyesha kujawa...
  3. R

    Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  4. B

    Hili la Lissu na tulipofika: "Hivi hatuoni aibu kuchagizwa, ili kutenda haki? Hivi tutakuwa hata na majibu gani kwa Mola?"

    Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai? Kwamba wenye kuhusika na kuyaridhia hayo ni ninyi, na mwaona mko sahihi, maisha yanaendelea ali mradi...
  5. Just Pray

    Iringa: Wadau wa mahakama watakiwa kutenda haki ili kutokomeza rushwa

    Wadau wa mahakama mkoani iringa wametakiwa kutenda haki wanapokuwa katika majukumu yao ikiwemo kujenga ukaribu kwa wananchi wakati wa wanapotoa huduma za kimahakama. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya sheria yaliofanyika katika viwanja ya mahakama mgeni rasmi wa maadhimisho...
  6. The Father of All

    Ni wangapi wanapenda kifo kutokana na kutenda haki?

    Japo wengi wanachukia kifo, kuna ukweli kuwa kifo ndiyo kitu pekee kinachotenda haki kuliko vingine. Mvua inaweza kunyesha lakini si dunia nzima. Kifo kipo kila mahali dunia nzima. Furahi ipo duniani lakini siyo kwa watu wote. Ni kifo pekee kinachosawazisha mambo. Mbali na kifo, kinachofuatia ni...
  7. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi ataka uadilifu na kutenda haki kwa watumishi wa sekta ya ardhi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi. Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
  8. Kimbesa11

    Tunampenda Rais Samia kwasababu ni Mpenda haki, ukitenda haki unabaki mioyoni mwa unaowatendea haki hutasaulika kamwe

    Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumlaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia. Haya hapo chini ni baadhi ya maendeleo ambayo ninayashuhudia hapa kifupi kwasabu nayaona yanafanyika nchini Mimi mwenyewe...
Back
Top Bottom