kutawala dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Je dini ya shetani(satanism) inakaribia kutawala dunia?

    Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mlokole lakini niliyebahatika kuisoma dini ya shetani na kuhudhuria ibada zao walau mara moja Dini zinazomwamini Mungu mmoja bado zina nguvu sana, mitandao mikubwa na wafuasi wengi duniani Hivyo basi hakuna ushahidi wa kisayansi, kisiasa, au kijamii...
  2. President of China

    Je, Bado Baadhi ya Wakatoliki Wana Mawazo ya Kale ya Crusade na Kutawala Dunia?

    Matukio ya Kihistoria Ambayo Kanisa au Wakatoliki Walihusishwa na Ghasia na Mauaji (A) Mauaji ya Kimbari Rwanda – 1994 Hili ndilo tukio la hivi karibuni lenye uzito mkubwa sana. Ingawa mauaji ya kimbari yalifanywa na serikali ya Rwanda na wanamgambo (Interahamwe na wengine), ni kweli kwamba...
  3. Bueno

    Kuzaa, Kuongezeka, Kutiisha na Kutawala

    Mkuu: Bado hujachelewa TUBU leo TUBU kesho TUBU wiki nzima kisha utaanza kuzaa, utaanza kuongezeka, utaanza kutiisha na utaanza kutawala. Nalala hivi Exsultate, Jubilate!
  4. gstar

    Kizazi cha maroboti kutawala dunia

    Baada ya takribani kama miaka 50 hivi ijayo teknolojia itakapokuwa juu sana. Mfumo wa Artificial Intelligence (AI) utakuwa umeimarika kiasi kwamba maroboti yataweza kuwasiliana na kufanya uamuzi unao fanana. Mifumo hiyo itayawezesha maroboti hayo kufanya maamuzi ya hatari kwa kumwasi aliye...
  5. Kusini pride

    Kama sisi ndiyo tuliletwa kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe?

    Aisee kama mwanadamu ndiye ameletwa kuja kutawala dunia kwanini tunaviogopa baadhi ya viumbe kama nyoka,simba,chuo,tempo na baadhi ya viumbe? Na kwanini? Napatwa na hasira nyingi kujiuliza kwanini tunavihofia viumbe vingine? Mamba hana akili lakini kwanini tumuogope kiumbe asiye na akili? ?????
  6. Dr. Zaganza

    Jinsi ya kutawala dunia

    1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono. 2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu 3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha ulevi hakina maamuzi 4. Wawekee video za ngono kila mahali, wakishiba wafikirie kujikojolesha 5...
  7. Yoda

    Himaya ya kirumi(Roman Empire) haijawahi kutawala dunia

    Kwa nini watu wengi huwa wanaizungumzia Roman Empire kama himaya kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani au iliwahi hata kuitawala dunia wakati uhalisia ni tofauti kabisa? Roman Empire kwa kipimo chochote kile sio mojawapo ya himaya kubwa duniani, hii ni Himaya iliyochukua eneo la Ulaya magharibi...
Back
Top Bottom