kutawadha

 1. N

  Hukumu ya kutawadha

  Kutawadha kunasuniwa katika mambo mengine yasiyokuwa hayo Kwa neno lake Mtume ﷺ aliposema: (Hajilazimishi na udhu isipokuwa mwenye Imani) [ Imepokewa na Ahmad]. Na kunapendekezwa zaidi kutawadha wakati wa kujadidisha udhu kwa kila Swala, kutawadha kwa kumtaja Mwenyezi Mungu na kuomba, wakati wa...
 2. N

  Udhu na afya kwa jumla

  Kwenye makala yaliyotolewa kwenye jarida la Source Linalotolewa na Umoja wa Mtaifa kuna maneno haya “Hakika kule kuoga kimpango na kutawadha kwa ajili ya kuswali katika jamii za Kiislamu kumesaidia sana kupunguza ueneaji ugonjwa wa trakoma ambao unaonekana kuwa ni sababu msingi ya upofu katika...
 3. N

  kutawadha ni kitu muhimu katika nguzo ya kuswalah

  1.Kuhudhurisha nia moyoni. 2.Kutaja jina la Mwenyezi Mungu kwa kusema “bismillah” 3.Kuosha vitanga viwili vya mikono (mara tatu) 4.Kupiga mswaki: na mahali pake ni wakati kusukutua. 5.Kusukutua na kupaliza maji puani na kuyatoa.(mara tatu) Madhmadhah: kutia maji kinywani na kuyageuza...
Top