kutatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Feedback hasa katika mazungumzo yanayolenga kutatua migogoro

    Habari wadau tupo siku zinakwenda na tunazidi kutatua matatizo mengi ya kiuchumi kijamii kielemu na zaidi. Kuna kitu ningependa tujadili na huenda kikatuongezea silaha zaidi za kupambana na challenge mbali mbali kwenye maisha yetu. Kitu hiki ni feedback yaani mrejesho hasa wa mazungumzo tu...
  2. M

    Je, njia zinazotumika kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe?

    Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na matatizo kadhaa yanayotukabili katika Taifa letu. Kwa ufupi naomba tutathmini ikiwa njia tunazotumia kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe au la? Kwa kawaida ukitumia njia sahihi kutatua tatizo ulilo nalo, bila shaka tatizo hilo litakwisha na...
  3. Dkt. Gwajima aitaka jamii kuzitumia huduma za ustawi wa jamii kutatua changamoto mbalimbali

    DKT. GWAJIMA AITAKA JAMII KUZITUMIA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI Na WMJJWM-Mtwara Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ameitaka jamii kutambua na kutumia kikamilifu huduma zinazotolewa na wataalamu wa Ustawi wa Jamii...
  4. Uvumilivu wa Ndoa: Kuachana Haraka au Kutatua Migogoro?

    Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷‍♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
  5. Bodi ya Ligi Kuu: Tukishindwa kutatua hili tutaihusisha Serikali

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu, Steven Mguto katika mahojiano yake na Kituo cha Habari cha Mwananchi Digital amesema iwapo wao Kama mamlaka za kimpira watashindwa kutatua sakata la Simba na Yanga kuhusiana na kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo basi wataishirikisha Serikali. "Jambo hili...
  6. Nawashauri Ccm kuhusu swala la ajira kwa vijana endeleeni kukaa kimya kwakuwa hama maarifa wala akili za kutatua hili tatizo.

    Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
  7. Waziri Aweso awataka DAWASA kushirikiana na wenyeviti wa Mitaa ili kutatua changamoto za maji na kurahisisha utoaji wa huduma

    AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kuweza kutatua changamoto za maji pamoja na kurahisisha ufikishaji wa huduma...
  8. S

    Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  9. Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto

    Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
  10. Njia nzuri kutatua mgogoro DRC

    Ili kumaliza mgogoro DRC jumuiya ya kimataifa LAZIMA ifanye yafuatayo: 1. DRC iwatambue na kuwakubali raia wake wenye asili ya makabila ya nchi nyingine. Kama vile Tanzania ilivyoyatambua makabila ya wamasai, wasegeju, wajaluo, wapare, wahaya, wamakonde, wamanyema. 2. Rwanda na Uganda izungumze...
  11. Waziri Ulega Kuwapima Mameneja kwa Uwezo wa Kutatua Changamoto Wakati wa Dharura

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema atawapima mameneja wa Wakala wa barabara nchini (TANROADS ), kwa uwezo wa kutatua changamoto wakati wa dharura ili kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika wakati wote. Ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wananchi wa wilaya za Handeni na...
  12. A

    DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  13. Mbunge Twaha Mpembenwe: Nimekuja Kutatua Kero na Kutimiza Ahadi

    Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto za Wananchi wa Kata ya Kibiti. "Nilifanya Ziara ya Kusikiliza Kero na Changamoto za Wananchi...
  14. A

    Uwezo wa kutatua changamoto za maisha na kujiajili za mtoto

    Habari jamvini. Leo nina jambo naliwaza kidogo. 80% ya mahudhui ya mitandaoni ni vichekesho na vituko na ndio wengi wanaangalia hasa hususan mabinti. Wenyewe wanaviita vibinti ya 200. Fact 2: kuna ushahd mkubwa kuwa wanaume mara nyingi ndio wanaowahi kwenda akhera madukan na kuacha wake zao...
  15. J

    Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili. Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
  16. LGE2024 Freddie: CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi

    CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi badala yake wachaguwe viongozi wa kutoka CHADEMA Pia wamesisitiza...
  17. LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

    Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
  18. E

    Tatizo la kushindwa kupata Msimbo kutoka NACTE ili kusajiliwa chuoni, tusaidieni jinsi ya kutatua changamoto kama hii

    TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
  19. Bilioni 1.3 Kutatua Changamoto ya Maji Kijiji cha Kumubuga, Ngara

    BILIONI 1.3 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KIJIJI CHA KUMUBUGA, NGARA Serikali imetenga Shilingi Bilioni Moja na Milioni Miatatu (Bilioni 1.3) ili kutatua changamoto ya tatizo la Maji katika Kijiji cha Kumubuga Kata ya Nyamagoma wilayani Ngara mkoani Kagera Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo...
  20. Nina wazo hili, linaweza kutatua changamoto ya ajira kwa kiasi chake

    Naomba wadau na serikali tuanzishe teknolojia mpya ambayo itawezesha kupatikana kwa part time job . Mfano Mimi ninaishi Mbagara kuanzia muda wa SAA mbili usiku nitakuwa na uhitaji wa Mwalimu wa history anifundishe topic ya colonial economy Ninachofanya ninaingia mtandaoni katika hiyo App then...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…