kususia uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Naanza kuamini kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi wanajutia sasa

    Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa. Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu...
  2. M

    GE2025 Zitto Kabwe: Kususia uchaguzi siyo suluhisho

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kususia uchaguzi siyo suluhisho la kupambana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani hakijali chochote, bali njia pekee ni kupambana nacho kwenye sanduku la kura kwa kuhakikisha wananchi wanapiga kura nyingi za kukiondoa madarakani...
  3. Superbug

    GE2025 Kususia Uchaguzi ni Bora kuliko kuandamana hasa kipindi tukiendeacho sababu ni hizi

    1. Pamoja na kwamba uchaguzi wetu umekuwa haramu siku zote ila kuandamana Kwa wakati huu inaweza leta matatizo makubwa. A. Nguvu itatumika kubwa kuyazima hivyo kupelekea watu kuumizwa sana. B. Kuna matukio ya kitaifa yatakayofwatana mfululizo kwenye wiki la mwisho la October na wiki la mwanzo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mchange: Kulazimisha kususia uchaguzi ni kupora haki za wananchi

    Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) kimekemea vikali tabia za baadhi ya vyama vya siasa kuwalazimisha wananchi kususia uchaguzi ni kuwanyima haki ya msingi kwa mujibu wa katiba. Chama husika hakishiriki uchaguzi hatua hiyo ambapo ni kinyume cha demokrasia ya...
  5. tonicimmobility

    GE2025 Mhando: Kususia uchaguzi ni kosa ni sawa na kususia maendeleo

    Wakuu, Crown wamemtoa wapi huyu mwanadda? au ndio makada hawa na hatujui? Soma pia: Susan Lyimo: Kususia uchaguzi ni kama kumuachia ngedere shamba la mahindi, sisi tutazuia hatususii
  6. Waufukweni

    GE2025 Gombo: Hakuna kususia Uchaguzi, tukapige na kuzilinda Kura

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, amewaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura, akisisitiza kuwa ndio njia pekee itakayowezesha kumchagua kiongozi wanayemtaka. Pia mgombea urais huyo ameitaka Tume huru ya uchaguzi kutenda haki na usawa...
  7. R

    GE2025 Wananchi Mbeya wapinga matokeo Kura za Maoni CCM, waahidi kususia uchaguzi mkuu 2025

    Hali ya sintofahamu imeibuka katika Jimbo la Mbarali, Mkoani Mbeya baada ya baadhi ya wananchi kutishia kususia Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, wakipinga matokeo ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuwa mgombea aliyeibuka mshindi si chaguo lao, bali...
  8. R

    GE2025 Yosepha Komba: Hakuna namna unaweza kuzuia uchaguzi ikiwa si sehemu ya uchaguzi

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Yosepha Komba ambae kwa sasa ni mtia nia wa Ubunge Jimbo la Muheza kupitia CHAUMMA amedai kuwa ni vyema kuwakabili CCM kwenye maboksi ya kupigia kura kuliko kuwasusia wabaki wenyewe, kwakuwa hakuna namna uchaguzi unaweza kuzuiliwa ikiwa...
  9. Waufukweni

    GE2025 Zitto Kabwe: Kususia Uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe katika andiko lake katika mtandao wa X siku ya Jumapili, Julai 6, 2025. "Watanzania wameichoka CCM. Watanzania wanataka mabadiliko. Kususia uchaguzi ni kuwapa CCM ushindi kiulaini. Kuiacha CCM peke yake kulidhibiti Bunge ni kulikosea...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wakili Madeleka: Hatuwezi kupata mabadiliko kwa kususia uchaguzi

    Wakili wa Kujitegemea na kada wa Chama cha ACT Wazalendo Peter Madeleka leo, Jumamosi Mei 31.2025 amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Ubunge wa jimbo la Kivule, Dar es Salaam Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CHADEMA Zanzibar haina nia ya kususia uchaguzi mkuu 2025

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, kimesema hakina nia ya kususia uchaguzi mkuu 2025, bali kinataka mabadiliko ya mifumo wa uchaguzi ndio uchaguzi ufanyike kwa misingi ya haki kwa washiriki wote. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma, ameyasema hayo jana Visiwani...
  12. Genius Man

    PreGE2025 CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi

    Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi. Hakuna mtu atakayeenda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni Rais, hakuna Rais bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia...
  13. A

    PreGE2025 CHADEMA kama Chama cha Siasa mmefanya kosa kubwa sana kususia Uchaguzi

    Nawaambia mmefanya kosa kubwa sana kususia uchaguzi. Hili jaribio linaenda kuizika CHADEMA. Mlitakiwa kupambana mkiwa field au site. Huwezi kutatua matatizo kwa kuyakimbia.Ni uamuzi ambao hauko sahihi kwenye masuala ya siasa.
  14. W

    PreGE2025 Susan Lyimo: Kususia uchaguzi ni kama kumuachia ngedere shamba la mahindi, sisi tutazuia hatususii

    Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Susan Lymo asisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni kuzuia uchaguzi sio kususia aomba wananchi waunge mkono.
  15. Nipe Maji

    PreGE2025 POTOSHI Jaji Warioba asema CHADEMA kususia uchaguzi ni kujifuta kwenye Ramani ya siasa

  16. chiembe

    Baada ya CHADEMA kususia uchaguzi, Luhaga Mpina ameanza kurudisha utii kwa CCM

    Luhaga Mpina alikuwa na mpango kuhamia chadema akagombee Ubunge huko. Hata hivyo kitendo cha chadema kugomea uchaguzi kimemvuruga. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Sasa amerudisha majeshi CCM na kuanza...
  17. chiembe

    Boniphace Jackob ashangaa Watanzania hawajashtushwa na kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi

    Boniphace Jackob Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani ameahangaa kitendo cha wa Tanzania kutoshtushwa na No Reform No election Boniphace Jackob aliyasema hayo wakati akihutubia wakazi wa Tandale. Boniphace Jackob alijigamba kwamba yeye ndiye amejenga barabara za Tandale kana kwamba alikuwa...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Dorothy Semu: Uchambuzi wetu unaonesha katika nchi mbalimbali duniani, kususia uchaguzi kumeimarisha hujuma zaidi za dola dhidi ya demokrasia

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa Chama hicho kitashiriki kikamilifu uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu kwenye nafasi zote za Udiwani, Ubunge, Uwakilishi na Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Zanzibar. Akizungumza na wanahabari leo Aprili 16...
  19. W

    PreGE2025 Ado Shaibu: Lingekuwa kosa la kimkakati sisi kususia uchaguzi mkuu

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema chama chao cha ACT Wazalendo kingekuwa kimefanya kosa la kimkakati ikiwa wangesusa kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, wakieleza kuwa kwasasa timu yao ya wanasheria wanajiandaa kufungua Kesi mahakamani kupinga baadhi ya vifungu...
  20. chiembe

    Kwa kuwa msimamo wa mkutano mkuu wa chadema ni KUZUIA uchaguzi usifanyike, kwa nini Mnyika amekiuka kwa KUSUSIA uchaguzi kwa kutosaini maadili?

    Bado msimamo wa chama unawachanganya CHADEMA Uongozi unasema watazuia uchaguzi. Kusaini maadili ni sehemu ya uchaguzi. Nlitarajia Mnyika aende pale akazuie kipengele hiki cha uchaguzi. Hajafanya hivyo, sasa wanataka kuuzuia katika hatua gani? Alichofanya leo Mnyika ni kususia. Amefanya hivyo...
Back
Top Bottom