kusoma na kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kabla ya ukoloni, kuna kabila lililokuwa tayari na mfumo wa elimu wa kusoma na kuandika?

    Nje ya kuwinda, kula nyama, kuzaliana, vita na kunywa pombe. Kuna kabila lilikuwa na mfumo wa elimu au wote tumekuja kutolewa ushamba na wakoloni ?
  2. A

    KERO Kuna shule za Mbeya hazipokei Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kama hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri. Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea Udiwani Ihumwa kwa madai ya kutojua kusoma na kuandika

    Aliyekuwa Mgombea Udiwani Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma Musa Sajilo ambaye jina lake limeenguliwa kwa madai ya kutojua kusoma na kuandika amekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kuingilia kati suala hilo kwa madai lina hujuma. Akizungumza na Vyombo vya Habari Agosti 16 Jijijni Dodoma, ameeleza kuwa...
  4. evangelical

    Uandishi wa habari mtu sasa ni lazima awe na elimu ya ngazi ya diploma ila ubunge hata kama huna elimu ilmradi ujue kusoma na kuandika Kiswahili

    Hii Nchi kwa kweli ni kama viongozi wake,,, Kazi nyeti kama Ubunge eti mtu mradi ajue kusoma na kuandika tu halafu kazi ya uandishi wa habari hata kama ni kiredio ki FM cha mtaa au uwe mwandishi wa habari wa kujitegemea huna chombo maalumu ni lazima uwe na Elimu ya hiyo fani angalau ngazi ya...
  5. R

    Nchi ya laana: why? Mbunge anayejua kusoma na kuandika 17,000,000/month, Tabibu (CO) laki 7! Mwalimu laki 4..............hala

    Nchi ya laana
  6. Wakusoma 12

    Maajabu: Karani mwongoza wapiga kura anahitajika kuwa na elimu angalau kidato Cha nne ila Mbunge wa Bunge anahitajika kujua kusoma na kuandika pekee

    Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
  7. Prof_Adventure_guide

    GE2025 Je, Vigezo vya Kujua Kusoma na Kuandika Vinatosha Kuamua Ustahiki wa Mbunge?

    Tupo katika wakati mgumu ambapo nafasi za ubunge zinageuka kuwa njia ya kupima bahati badala ya ujuzi na uwezo wa kiuongozi. Vigezo vya msingi kama “kujua kusoma na kuandika” haviwezi kuwa kipimo sahihi cha mtu anayepewa dhamana ya kutunga sheria, kusimamia rasilimali za taifa, na kuwakilisha...
  8. Genius Man

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu. Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  10. Dr Adam Francis

    Hivi kujua kusoma na kuandika ndio sifa ya kitaaluma inayomtosha mtu kuwa Mbunge, katika Tanzania ya sasa?

    Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
  11. Just Pray

    Vijana 700 wasiojua kusoma na kuandika warudishwa shule, ungekuwa wewe ungeweza?

    Wasiojua kusoma na kuandika zaidi ya vijana 700 ikiwemo watu wenye umri zaidi ya Miaka 17 wakiwa 85 wasiojua kusoma na kuandika katika kijiji cha Ipazya wameandikishwa katika mfumo rasmi na mfumo usio rasmi (MEMKWA) Wilayani Mbozi Mkoani Songwe kuanzia mwezi Januari na Februari kupitia kampeni...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jolam Hongoli: Ubunge siyo kujua kusoma na kuandika pekee

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha kufikiria kuwa ili uweze kuwa Mbunge unapaswa kujua kusoma na kuandika tu kwa kuwa kazi hiyo ya uwakilishi ni...
  13. S

    Kumbe ukiwa chama cha upinzani unasahahu kusoma na kuandika

    Nimetafakali na kuwaza sana zaidi ya wagombea elfu 16 za wagombea wa vyama vya upinzani walikosea kujaza form. Cha ajabu form hizo ziliandikwa kwa k Swahili. Lakini cha ajabu CCM walijaza kwa ufasaha wote. Hii ndio sababu ya kuuliza hivi ukiingia champ chochote cha upinzani una sahahu hapo...
  14. M

    Mikoa inayoongoza kwa watu wake kujua kusoma na kuandika (literacy rate)

    Mambo vp wadau wa JF naomba kushare nanyi List ya mikoa 10 ya Tanzania bara inayoongoza Kwa wakazi wake Kujua Kusoma na Kuandika (Literacy Rate) na Mikoa 10 ya Mwisho katika kipengele hicho. Mikoa 10 inayoongoza kwa Asilimia kubwa ya wakazi kujua kusoma na kuandika (Mwaka 2022) 1. Dar es...
Back
Top Bottom