kusimamia uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Rais Salva Kiir ameteua Mjumbe aliyekufa kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua bila kukusudia mtu aliyekufa kuwa mjumbe wa kamati itakayoandaa uchaguzi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Msemaji wa ofisi ya rais amesema hii leo kwamba mamlaka zilipitiwa wakati wa uteuzi baada ya Steward Sorobia Budia, mwanasiasa wa zamani wa...
  2. Just Pray

    Askofu Mihali: Umepewa wajibu wa kusimamia uchaguzi, umesimamia vizuri?

    "Tungeweza kusema ujio wa Yesu Kristo umeondoa kila aina ya dhuluma, uwe umeondoa kabisa hali ya uonevu, uwe umeondoa kabisa hali ya kutojali utu, uwe umeondoa mauwaji au kuuawa kusipokuwa na hatia, uwe umeondoa kabisa unyanyasaji wa aina mbalimbali , tulidhani imengekuwa hivyo miaka yote...
  3. M

    Ijue idadi ya Polisi Nchi nzima, na kwanini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kusimamia Uchaguzi

    Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    Nipo Tandahimba, naona walimu wamekusanyika kwa Mtendaji Kata wanarudisha barua za kusimamia uchaguzi

    Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra. Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu. Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine hazijichoreshi namna hii kama hawa ndugu zetu?
  5. Dominik Dominik

    nafasi za kusimamia uchaguzi mkuu oktoba 2025 zimetangazwa 28/6/2025 na inec huko

    vijana mnaojitafuta na msio na ajira ndo mkabahatishe hukoo pa kupunguzia maumivu walau,Posho si habaaa. Maisha yapo kasi sana isee,enzi zetu barua moja tu ya kujieleza unakwenda kusimamia.Hii naona wamedai wadhamini tena wawe na NIDA😅😅 na unaeomba uandike wasifu(CV) na mavyet yenu ya shule na...
  6. Kipenzi Changu

    Hii nchi aisee!! Yaani Mkuu wa Machinery ya kusimamia uchaguzi ni mama mkwe wa Rais

    Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi. Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni na leo ni majina tu, lakini michakato ni ile ile. PO-RALG ndio inasimamia uchaguzi kupitia...
  7. S.M.P2503

    PreGE2025 Kama hakuna muda wa kuifanyia Tume ya Uchaguzi marekebisho UN yaweza kusaidia

    Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru na wa haki? Utangulizi: Umoja wa Mataifa (UN) hauna mamlaka ya moja kwa moja kuingilia uchaguzi wa...
  8. Abraham Lincolnn

    Ramadhani Kailima anatoa matamko kama nani? Kuna stakeholder yeyote aliyeshiriki kumuweka kusimamia uchaguzi tofauti na mgombea wa CCM?

    Huyu mtu hana mandate yeyote kutoa matamko kukemea jambo lolote, Kwa sababu uwepo wake katika kusimamia uchaguzi si halali. Mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa CCM atawezaje kukemea CCM pale inapokosea? Hiyo nafasi ilitakiwa apatikane mtu ambaye atakuwa neutral asiyekuwa...
  9. Wakusoma 12

    Kigezo cha kusimamia Uchaguzi kwa Watumishi wa Umma na uvunjaji wa Haki za Kikatiba za Watanzania

    Kigezo cha kuwa mtumishi wa umma ili kumiliki nafasi ya kusimamia uchaguzi kinatoa changamoto kubwa kuhusu haki ya usawa katika ajira na ufikiaji wa fursa. 1. Haki ya Kazi Kikatiba: Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977, kila Mtanzania ana haki ya kupata nafasi ya...
  10. McLaren

    PreGE2025 Tume ya Uchaguzi ina maslahi gani na watumishi wa umma mpaka itake kuwaajiri wao tu kusimamia Uchaguzi?

    Wakuu, Kuna hizi ajira mpya zimetolewa na tume huru ya Uchaguzi Zanzibar siku ya jana. Nafasi ambazo zilitangazwa ni Mratibu wa Uchaguzi (Unguja na Pemba), Msimamizi wa Uchaguzi (kila wilaya), na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (nafasi tatu kwa kila jimbo) Soma pia: Tume Huru ya Taifa ya...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Polisi wilaya ya Arusha, waaswa kujipanga kusimamia uchaguzi mkuu

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Arusha limehimizwa kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi na kulinda raia na mali zao huku likikumbishwa kutambua kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo Jeshi hilo ndilo lenye dhamana ya kuhakikisha ulinzi na usalama wakati wote wa uchaguzi na baada ya uchaguzi...
  12. Abraham Lincolnn

    Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo Mkurugenzi NEC na timu yake ya kusimamia uchaguzi mkuu inateuliwa na anayegombea uchaguzi huohuo

    Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuita uchaguzi wa aina hii ni wa 'HURU NA HAKI'. Dunia nzima inaishangaa Tanzania, mbaya zaidi ni pale inapojinasibu huko duniani kote kwamba ni nchi ya kidemokrasia! Hii ni AIBU kubwa sana! Nahisi dunia nzima inashangaa na kuhoji kama watanzania ni...
  13. Jamaa Fulani Mjuaji

    Kero kuhusu ajira za muda kwa watumishi wa umma, hususan walimu

    Katika hali ya sasa ambapo ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania unazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka, inasikitisha kuona kwamba serikali bado inaajiri watumishi wa umma, hususan walimu, kushiriki kwenye ajira za muda kama vile kusimamia uchaguzi, sensa, au kuandikisha majengo. Hii imekuwa...
Back
Top Bottom