kusikiliza kesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  2. evangelical

    Uganda kutomfukuza mwanaharakati wa Kenya alipokwenda kusikiliza kesi ya Besigye huku wakimsifu Samia kwa kumfukuza

    Kuna mambo yanafurahisha sana . Yaani watu wanakusifia wewe kwa kufanya kitendo flani kibaya . Kitendo hicho kibaya aliyekusifia yeye mwenyewe hakifanyi. Hii kwa wenye akili inaonyesha huyo mtu anakudharau anakuona wewe lofa flani anakupoteza manake huko ni kutoa sifa za uongo. Kuna watu...
  3. Kididimo

    Naomba mahakama ikatae kusikiliza kesi ya Lissu hadi maelfu ya raia kwenye mikutano ya Chadema waunganishwe

    . Kesi ya Malaika Lissu ni ya uhaini. Kwa urahisi wa maneno ni kwa kuzuia mamlaka kuendesha uchaguzi( hisia). Lissu akiwa bado ndani, mikutano ya Chadema inaendelea nchi nzima. Maelfu kwa malaki wameunga mkono hadharani mambo yaleyale yaliyomtia ndani Lissu na sasa anataka kushtakiwa peke...
  4. Mlalamikaji daily

    Pamoja na kuruhusiwa watu kwenda kusikiliza kesi ya Lisu : chadema kuna mtego wametegewa! Ngoja niwasanue sasa

    Kama mlivyosikia mahakama hatimaye dakika za jioni kabisa imekubali hoja za mawakili wa Lisu .. Sasa iko Hivi.. Serikali na Sisiemu sio wajinga kukubali mpira uende kati kizembe. Wanakuja na plan B... Kumbuka katika zile amri za mahakama pia ipo ile ya kuwa watulivu na kutofanya fujo aina...
  5. Z

    WITO WA KWENDA KISUTU KWA WINGI KESHO KUSIKILIZA KESI YA LISSU

    Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi. Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa...
  6. Z

    Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

    Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii. Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima...
  7. M

    Utaratibu wa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu, 24.04.2025

    Napendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao. 1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini. 2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi/Mashirika ya kimataifa na kikanda. 3. Waumini wa Dini zote na Watanzania wote kwa...
  8. Waufukweni

    Mahakama ya kijeshi Uganda imepigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

    Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kuwa kesi zote zinazowahusu raia ambazo zilikuwa zikisikilizwa katika mahakama za kijeshi zisitishwe mara moja na kuhamishiwa katika mahakama za kawaida. Uamuzi huo umetolewa na jopo la majaji saba, likiongozwa na Jaji Mkuu Alfonse Owing Dollo, ambao...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 VIDEO: Dkt. Slaa ndani ya Kizimba cha Mahakama Kuu, akikabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

    Dkt. Willbroad Slaa tayari amefikishwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza maombi yake aliyowasilisha Mahakamani hapo. Soma, Pia: Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za...
  10. M

    Nini maana ya Mahakama kusikiliza kesi Kwa kiswahili na kuandika Mihutasari yake Kwa Kiingereza?

    Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya...
  11. Bob Manson

    Je, naruhusiwa kwenda mahakamani kusikiliza na kutazama mienendo ya kesi mbalimbali?

    Habari za jioni waungwana Kabla sijafanya maamuzi haya, naomba kupata ushauri kutoka kwenu. Nataka siku moja niingie mahakamani, hasa mahakama kubwa, nisikilize kesi na shughuli nyinginezo za mahakama. Nimeona niulize kama inawezekana mtu yoyote kwenda kusikiliza kesi, je kuna taratibu za...
Back
Top Bottom