Nasikia huko Zanzibar kimeumana!
Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi.
Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama vya siasa hususani vya upinzani kuwapa mbinu za kufikia kutwaa dola kwenye chaguzi zijazo za...
Amani iwe nanyi wana JF,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kijenotyipia ( ki-mtazamo wa ndani ) kimeshakufa kibudu ila kifenotyipia ( ki-mtazamo wa nje ) bado kinaishi hali hii ilishawahi kuvikumba vyama vya National Convention for Constitutional Reform ( NCCR -Mageuzi ) baada...
Najua hili bandiko litawakela Sana ndugu zangu wa Chadema lakini inabidi tuvumiliane tu.
Kwa jinsi chama kilivoasisiwa inaonyesha kabisa kina nguvu kubwa sana ya kimfumo kutoka kaskazini. Sasa kwa hali hiyo isingewezekana mwaka 2015 na 2020 kupewa nchi.
Hali hii ingeleta swala la ukabila...