kupunguza foleni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kamati ya Miundombinu yapitisha Randama ya Bajeti Wizara ya Ujenzi 2026/2027, yapongeza mikakati ya kupunguza foleni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini. Akizungumza jijini Dodoma...
  2. Mnyasikoma

    Mapendekezo ya kupunguza foleni jijini Dar es Salaam

    Kwako Gerson Msigwa na Serikali kwa ujumla UTANGULIZI Foleni jijini Dar es Salaam imekuwa kikwazo kikubwa cha uchumi, muda wa uzalishaji, afya ya wananchi na taswira ya taifa. Kitovu cha msongamano mkubwa kinaanzia Morogoro Road na Mandela Road kupitia Tabata hadi Mbezi, na hii inahitaji...
  3. D

    Njia mojawapo ya kupunguza foleni na changamoto ya usafiri

    Habari zenu! Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Majalio Kyara aahidi kupunguza foleni na kurejesha uadilifu serikalini

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, ameahidi kushughulikia kwa haraka changamoto ya msongamano wa magari katika jiji la Dodoma, akisema tatizo hilo limekuwa likitesa wakazi wa majiji makubwa nchini na kudhoofisha shughuli za...
  5. PureView zeiss

    Bashungwa: Barabara za mwendokasi ambazo hazijaanza kutumika, zitumike kwa magari binafsi ili kupunguza foleni

    Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Innocent Bashungwa ametoa ushauri wa Mamlaka husika kuruhusu barabara zinazotumiwa na Mabasi ya ‘Mwendokasi’ ziwe zinatumika na magari binafsi hususani wakati wa asubuhi kwenye kuwahi kazini na jioni wakati wa kurudi nyumbani na kusema hiyo itapunguza foleni hasa...
  6. Omary Mbegele

    Andiko la kimkakati na kibunifu kuhusu kupunguza msongamano wa magari katika Dar es Salaam

    Utangulizi Dar es Salaam, ikiwa ni moja ya miji inayokua kwa kasi Afrika, inakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari. Hali hii husababisha kupoteza muda mwingi, kupunguza ufanisi wa kiuchumi, na kuathiri ubora wa maisha ya wakazi wake. Andiko hili linatoa mapendekezo ya kimkakati na...
Back
Top Bottom