kupendwa na wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tangu nilivyoanza kupendwa na wanawake wengi, pesa haikai kabisa

    Kila ninachokipata kinapotea kwenye mazingira yasiyoeleweka, kichwa kikuu kimeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu ya kuzuia pesa isipotee. Maendeleo yangu yamekuwa ni yakusua sua, wakati mwingine naonekana kama vile nimechanganikiwa, wazee wenzangu hawanipi heshima tena kama mwanzo. Sasa...
  2. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuanza kuishi na mwanamke ghetto nimeanza kupendwa na wanawake wengine

    Nimekaa kibachela muda mrefu sana, nimeteseka sana na upweke nikawa najiliwaza na mkono bao au kupiga mgalala Siku zote hizo mademu walikua wananikataa kila ninaemtia vocal anadai ana mtu wake Hatimaye nikapata toto la 2005 toto bichi linalojua kucare nikaanza kuishi nae ghetto Cha ajabu kwa...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Baada tu ya kuoa, wanawake wananipapatikia hadi kero

    Mara tu baada ya kufunga ndoa takatifu wanawake wameanza kujitongozesha si kazini, gym wala mtaani. Najiuliza walikua wapi mpaka Naoa huyu mnyakyusa wangu Atuganile?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Marasta wana siri gani?

    Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Back
Top Bottom