I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu.
Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya...