kuongoza nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Luca Paguro

    Hivi Samia una roho ya aina gani we mama

    Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+ Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza? Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...
  2. The Father of All

    Hata kama watazima maandamano, je Samuya bado atakuwa na udhu wa kuongoza nchi yetu au aende kwao Zanzibar na kutuachia nchi yetu?

    Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
  3. Just Pray

    GE2025 Bashungwa: Hakuna chama zaidi ya CCM chenye uzoefu wa kuongoza nchi yetu bila kuingia kwenye machafuko ya kivita

    Mgombea ubunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuendelea kuongoza Serikali bila nchi kuingia kwenye machafuko. Bashungwa ameyasema hayo jana Oktoba 10, 2025 katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika Kijiji cha...
  4. M

    GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

    Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji...
  5. Tlaatlaah

    Ukubwa na umuhimu wa ccm katika kuiongoza nchi wajidhihirisha wazi kwa umma wa waTanzania

    Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
  6. M

    Nia Ya CCM Katiba iliyopo na NEC Mbovu ni kutawala milele, watoto wao na vitukuu viendelee kuongoza nchi, na kula pesa, hakuna uzalendo

    Natoa hoja nyepesi , lakini kama kuna ukweli juu ya hoja hizi. Nimekaa nimejiuliza nini mantiki ya CCM kuwa na katiba mbovu na utaratibu ,mbovu wa Uchaguzi, je toka wamekabidhiwa nchi na wakoloni inamaana ni kama walipewa hii nchi milele, na kwamba Nchii hii ni mali ya chama cha CCM na Familia...
  7. W

    PreGE2025 Heche: Njia pekee ya watu kujipatia uongozi utakaowajibika kwao ni kwa njia ya kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kawaida cha kamati kuu wa kamati kuu ameeleza kuwa wapo kwenye vita na watu ambao wameshindwa kuongoza nchi, wanaoiba mali za umma na wasio na malengo na nchi hii. "Sote...
  8. Mganguzi

    Jakaya ametuachia somo zito! Uongozi ni stamina na demokrasia ni kuvumiliana. Ukishakuwa rais hauongozi CCM, unatakiwa kuongoza nchi

    Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono. Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga: Tumeshuhudia uchaguzi wa CHADEMA wakitukanana, ni uthibitisho kuwa hawafai kupewa nafasi ya kuongoza nchi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdulrahman Abdallah, amesema wanasiasa wa vyama vya upinzani hawana cha kuwaeleza wananchi juu ya kile walichokifanya, na kwamba wanafaa kupuuzwa. Badala yake, amewataka wananchi wamuunge mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Rajabu...
  10. Mr Chromium

    Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
  11. chiembe

    PreGE2025 Kama CHADEMA wenyewe wanasema Lissu hafai kuongoza chama, Watanzania tusimpe kuongoza nchi

    Wasiwasi ndio akili. Chadema leo wamekuja hadharani na kutamka kwamba Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao. Chadema wanasema Lissu lazima awe chini ya mtu Yaani mwenyekiti. Kwa mazingira haya, nani ampigie kura kumkabidhi urais? Wanaoishi naye wanasema hafai kabisa kuwa kiongozi mkuu, sisi...
  12. D

    Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

    Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru. Rais mpole na msikivu Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
  13. Knock life

    Ipi kazi ngumu kati ya kuongoza nchi na kuongoza chama cha siasa?

    Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
  14. B

    Wale tuliofurahi Dr Magufuli Kuongoza Nchi Milele tufurahie pia Dr Samia aendelee hadi atakapo choka.

    Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe? After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale. Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale...
  15. britanicca

    CHADEMA haifai kabisa kuongoza nchi kwa sasa Tujipange haswa! Kuna Mkanganyiko

    Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA 1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema. 2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press. 3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu? Kwani...
  16. M

    Mbowe ni CCM! Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu?

    Inawezekana Freeman Mbowe amejiunga na CCM indirectly kutokana na his selfish ambition ya kutaka kuwa Mwenyekiti wa milele chadema. Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu vipi Halima ya John Heche..?
  17. BLACK MOVEMENT

    Kiongozi wa nchi msafi hawezi kamwe kuongoza nchi iliojaa viongozi wezi. Rejelea Sani Abacha wa Nigeria

    Kiongozi Msafi katika Taifa loloe lile kamwe na Daima haijawahi tokea akaongoza Taifa liliojaaa wapigaji wa mali za Umma. Kule Nigeria inaaminika Gen Sani Abacha kwenye utawala wake kulikuwa na upigani ambao haujawahi fikiwa hadi leo, Kila kiongozi alikuwa anakula kwa urefu wa Kamba yake...
  18. Erythrocyte

    Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

    Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo...
  19. M

    Ni dhahiri CCM na Serikali yake wameshindwa kuongoza nchi. Taifa letu limegeuka "A Failed State"

    Huhitaji kuvaa miwani ya uoni mkubwa kuweza kuona dhahiri shahiri kuwa nchi yetu imefeli, tena imefeli kila idara. Hakuna jambo lenye nafuu katika nchi yetu. Kila kitu ni bora liende, nchi inaporomoka kwenye korongo na ni kama hakuna anayejali. 1. Miaka zaidi ya 60 bila ya umeme wa uhakika...
  20. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yaanza kuongoza Nchi kabla ya kuongoza, yaelekezwa wapewe taarifa haraka

    Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania. Tuliwahi kuandika humu na kwingineko kwamba Chadema ndio inayotoa Dira na mwongozo wa nchi, nadhani sasa mnaanza kuthibitisha.
Back
Top Bottom