Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina.
Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha...