Wakuu kama kazi za ofisini bado hazipikani, basi naombeni hata za bandarini.
Nimeingia ajira portal kuangalia nafasi za kazi, nimetoka huko nduki.
Naombeni kazi, wale ma agents wa bandarini, sikieni basi hili ombi langu.
Msinichoke lakini.
Naombeni mnisaidie hata namna ya kupata kazi za...