kuokoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Girland

    Tetesi: Wokovu, je waweza kuokoka na ukawa mkatoliki? au Mlutheri, au wokovu ni kwa "walokole" pekee?

    UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
  2. Setfree

    Jamani asiwadanganye mtu — kuokoka ni kutamu!

    Hii sio chit chat. Nimethibitisha kwa macho na masikio yangu, na kuonja kwa nafsi yangu. Tangu nilipompokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wangu, nafaidi utamu huu: Siogopi wachawi wala siogopi kulala kwenye nyumba zenye vibwengo – wachawi wakinijia, nawapiga 'knock out' kwa Jina la Yesu...
  3. The Burning Spear

    Wana CCM Endeleeni na Dhambi zenu Hamprey poleple kaamua kuokoka

    GT Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini. Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya. Kwa hiyo mwacheni nyie endleeni kuua na kuteka malipo ni hapa hapa duniani.
  4. Setfree

    Kuokoka ni nini? Walokole wanaposema wameokoka, wanamaanisha nini?

    Kama umekuwa ukijiuliza maswali kama hayo, leo ni siku yako ya kujua maana ya kuokoka na pengine ndiyo siku yako na wewe ya kuokoka. Kuokoka ni neno tu la kawaida la Kiswahili lenye maana ya kusalimika au kunusurika kutoka katika janga, maafa makubwa au hatari yoyote inayokuijia. Mfano mzuri ni...
  5. Waufukweni

    Aliyekuwa mhalifu wa wizi wa pikipiki Njombe aokoka, apewa spika kusaidia wengine kubadilika

    Aliyekuwa mhalifu wa matukio ya wizi wa pikipiki mkoani Njombe ameamua kuachana na uhalifu na kumrudia Mungu baada ya kupata maono akiwa gerezani. Baada ya kuokoka, Jeshi la Polisi mkoani humo limemkabidhi spika aliyoomba ili aitumie kueneza Neno la Mungu na kuwahamasisha wahalifu wengine...
Back
Top Bottom