Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo;
vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote.
Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa...
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
Nchi 5 zinazoongoza duniani kwa ndoa za wake wengi, zote ziko Afrika na ni nchi maskini sana.
Burkina Faso: 36%
Mali: 34%
Gambia: 30%
Niger: 29%
Nigeria: 28%
Nchi zenye viwango vya juu vya kipato na elimu kama nchi za Ulaya na hata zile mashariki ya kati kama UAE na Quatar ndiyo zinaongoza...
Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16.
SWALI
Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam?
kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake
Sura ya An-Nisa...
Amesema katazo la kuoa wake wengi ni propaganda za wazungu ambapo wao wapo tayari wanaume waoane lakini sisi kuoa wake wengi waone kosa.
Ameongeza siku ya mwisho mwanaume mmoja atakuwa na wake saba.
Wasalaam wana JF
Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na...
Wanaharakati wa Haki za Wanawake wamesema Mswada unaopendekezwa wa kuhalalisha na kurejesha tena ndoa ya wake wengi kwa Wanaume, ni kurudisha nyuma jitihada za vita vya usawa wa kijinsia Nchini humo.
Ndoa za wake wengi zilipigwa marufuku nchini humo mnamo 1964 huku Tume ya Umoja wa Mataifa ya...
Ni ngumu sana kupata mwanamke ambaye.
1. Ana akili
2. Ana rangi nzuri
3. Ana sura nzuri
4. Ana body nzuri
5. Anajiheshimu
Nimeshauriwa hapo nioe wanawake tofauti tofauti kama watano au zaidi kulingana na sifa.
Unakuta dada mzuri ila hana akili. So huyu nakuwa naye kipindi kile nahitaji tu...
Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.
Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi...
Salaam,
Naomba kufahamishwa.
Kwa wale polygamists mnapangaje ratiba za kushiriki ndoa na wenzi wenu? Je, ladha huwa ipoje kwa kila mke? Mnawezaje kuzuia ule wivu wa asili baina ya wake zenu?
Pia ni kwa namna gani mnapata nguvu ya kuwahimili wake wanne na kuwaridhisha haswa ili wasichepuke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.