Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,377
- 10,641
Salaam,
Naomba kufahamishwa.
Kwa wale polygamists mnapangaje ratiba za kushiriki ndoa na wenzi wenu? Je, ladha huwa ipoje kwa kila mke? Mnawezaje kuzuia ule wivu wa asili baina ya wake zenu?
Pia ni kwa namna gani mnapata nguvu ya kuwahimili wake wanne na kuwaridhisha haswa ili wasichepuke? Je, nanyi bado mnapata kutamani nyama za nje ya bucha?