kunywa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi ya kupunguza gharama ya maji ya kunywa

    Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo: 1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea. Pia nimenunua water boiler ya lita 30, hivyo nachemsha maji, nayachuja na kitambaa kisafi cha nailoni, yakipoa...
  2. Wengi hatuna utamaduni wa kula matunda na kunywa maji.

    Salamu.Watanzania wengi wanaishi vijijini. Nahuko matunda ni mengi lakini husafirishwa kwenda mijini. Matunda kama embe zinaonekana ni kwa watoto. Ndizi mbivu wengi huzidharau kwamba chakula cha nyani. Watu wa mijini wanajitahidi kula matunda sana. Watu wa vijijini hasa wanaume wakienda mijini...
  3. N

    TBL imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu

    Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
  4. F

    Natembelea Wilaya ya Igunga kwa mara ya kwanza. Wenyeji mniambie maeneo ya kula, kunywa na kulala. Yawe mazuri.

    Wadau mada yajieleza. Jumatatu ijayo nitakuwa igunga hadi alhamisi. Sasa kwa waijuao Igunga, nile na kunywa wapi na nilale wapi? Maeneo yawe mazuri sana. Asanteni.
  5. Nilikamatwa Morogoro stesheni ya SGR nikituhumiwa kusafirisha chupa ya mil.500 ya maji ya kunywa!

    Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi. Nilipofika...
  6. Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

    Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
  7. G

    Mnaokesha au kulala sehemu za kunywa pombe huwa mnakunywa tu au kuna mahusiano ya ziada ya kimapenzi na ni ya aina ipi?

    Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani. Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
  8. Masikini wapigwe marufuku kunywa kulewa?

    Pombe na sigara ni kati ya bidhaa zinazoingizia nchi hela nyingi kwa njia ya kodi. Ingawa ni bidhaa iileteayo Serikali ukwasi mkubwa, ina madharabhasi kwa baadhi ya watu hasa masikini. Ilishawahi kutokea, na hata sasa hali inaweza ikawa hivyo kwa baadhi ya maeneo, ambapo: 1. Mwanaume anaenda...
  9. Mazingira ya Mashine za maji ya kunywa ya bure kwa Wananchi Dar es Salaam haziko salama, Wizara ya Afya fatilieni kinachoendelea

    Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti. Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
  10. Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  11. Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

    Habari wakuu I real hope you are doing good Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha Hii imekaaje ndugu zangu?
  12. Faida ya kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula

    Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
  13. Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
  14. U

    Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  15. Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  16. Kunywa maji ya Moto baada ya kufanya mazoezi

    HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU! Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya. Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu kupitia mishipa ya caratoid arteries Mishipa hii upeleka damu kwenye ubongo na huonekana mwili upo...
  17. Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

    Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
  18. Jinsi ya kunywa wine yako

    Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo. Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi...
  19. Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi. Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
  20. UDART Jangwani ni mradi wa Mtu, kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji!

    Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira. Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…