kunywa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Mbunge alazimishwa Kunywa Maji machafu na Wananchi wake

    Tafadhali naomba kujua hawa Wananchi wa hilo Jimbo wangependa GENTAMYCINE niwape Zawadi gani kwa Kunifurahisha hivi? Na Mimi sasa najiandaa kuanzisha Kampeni ya chini chini na Wananchi wa Jimbo langu ili Mbunge Wetu Samjo Samjo ( Muongo Muongo ) japo ni Mtumishi wa Mola ( Maulana ) nae akija...
  2. benzemah

    JamiiForums Faida za kunywa maji asubuhi

    Katika mwili wa binadamu, unywaji maji husaidia sio tu kuondoa kiu anayokuwa nayo mtu, bali pia kufanya kazi mbalimbali katika mwili ikiwa ni pamoja na kutuepusha dhidi ya magonjwa mbalimbali. Maji huchukua karibu asilimia 70 ya mwili wa binadamu, na seli za ubongo zina karibu asilimia 85 ya...
  3. BigTall

    JamiiForums Umuhimu wa kunywa maji wakati wa Ujauzito

    Ninywe Maji Kiasi Gani Kila Siku Wakati wa Ujauzito? Uhitaji wa maji wakati wa ujauzito ni mkubwa zaidi ili kuhakikisha mfumo wa mwili unaosimamia maisha ya viumbe wawili unafanya kazi vizuri. Ijapokuwa utofauti upo wa kiasi gani cha maji unywe kwa siku kutokana na sababu mbalimbali kama aina na...
  4. complex31

    JamiiForums Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
Back
Top Bottom