Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa.
Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
KATIKA MAISHA KUNA NJIA MBILI ZA KUJIFUNZA , NJIA NGUMU NA NJIA NYEPESI.
Maisha yana mambo mengi sana, binadamu kila kukicha wanakutana na changamoto mbali mbali .
ila pamoja na yote , kitu ambacho unabidi kukizingatia unabidi kuwa aware na mambo yanayowatokea wenzako , kuanzia mafanikio yao ...
Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo.
Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today;
1. Kwenye halmashauri
Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni.
Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila...
Naomba tu kuuliza Wakuu maana huu ubonge unanikwamisha nnashindwa hata kufunga kamba za viatu.
Nitumie njia gani ili niwe Mr. Slim sio BIG.
Na halafu nachukia sana mtu kuniona mimi fala, naomba km huna njia tafuta njia upite.
Nasubiria majibu yenu hapa chini.
Niaje wakuu
Huu msimu wa mvua mambo ni moto upande wa nyegezi, Mwanza.
Kuna njia za kupunguza hii kitu tofauti na ngono.
Naamini mambo ya fornication & adultery sio mazuri, kuna njia mbadala?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.