Nimeshangaa sana kabisa. Samia genge lake wamadai wanatoa huduma za afya bure, kumbe hata hela tunayotoa ya kumuona Daktari wanaila wao.
Miaka yote najua hela ya kumuona Daktari anachukua Daktari, kumbe inaenda Mufukoni mwa CCM na hawapewi hata shilingi kumi...
Hii nchi tunaongozwa na watu...
Ni ukweli kwamba gharama zinazotajwa ili uweze kuonana na daktari hazijawahi kuwa za daktari na waala daktari hajawahi kuzipokea ila ni gharama ambazo zimewekwa ili kusaidia uendeshaji wa huduma za afya na vitu vingine kwenye kituo husika.
Na kama serikali inamaanisha kuwa ni gharama za...
Habari .
Kwanini wabunge watanzania wanachangia hoja pasipo kuwa wafuatiliaji wa mambo.
Leo nimeona mbunge mmoja anaongea kuhusiana na hela ya kumuona Daktari (consultation fees)
Hii ni fedha muongozo wake ulipitishwa bungeni na wabunge wakakubali.
Kingine hela ya kumuona Daktari haingii...
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama, Emmanuel Cherehani amehoji utaratibu wa mgonjwa kulipia fedha ya kwenda kumuona daktari katika hospitali za Umma hapa nchini ambapo amedai wagonjwa hulipishwa kiasi cha shilingi 5,000 mpaka 30,000.
Soma pia: Dkt. Seif Shekalaghe: Marufuku hospitali kudai fedha...
Rais wa zamani wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Deus Ndilanha amependekeza kutoondolewa wala kupunguzwa kwa gharama za kumuona daktari hospitalini, akidai kuwa kuondolewa kwa gharama hizo kunaweza kushusha mapato ya baadhi ya hospitali na kufanya baadhi ya watoa huduma kushindwa...
Naungana na Kishimba, Bora kuchangia gharama za dawa, vifaa tiba kuliko hii wanaita consultation fee, huu ni wizi sawa na Kulipishwa unapoingia stendi kukata Tiketi.
Hongera Kishimba Kwa hoja murua, unawashinda Hadi wanaojiita Wapinzani hawana hata kitu wanachoweza kusimama nacho Kwa Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.