kumteua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia Kumteua Mkuu wa Zamani wa Kudhibiti Dawa za Kulevya, Kuwa DC Tanga, Kunatoa Taswira Gani

    Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert...
  2. Njia ya kumteua Makamu wa Rais kupitia ccm iangaliwe upya ina kasoro

    Namna ya kumpata Saa100 mwaka 2015 kupitia ccm kuna mahali ccm walibugi step. Hii mikataba tunayoiona ikisaini Dubai na kutoa bandari zote kwa kampuni moja hata hatujui bodi members wake ni akina nani?inatokana na namna ailivyopatikana kupitia ccm.
  3. K

    Ushauri: Raisi Samia mbadilishe Judge Francis Mtungi kwa kumteua IGP Mwema Ret

    Natoa ushauri kwa Raisi judge Francis Mutungi hataweza kukubaliwa na wadau hasa wa upinzani na anaonekana kama chawa kuzidi hata Judge. Kwenye kutengeneza katiba ni lazima uanze na team mpya ambayo wananchi wataiamini. Kwasababu majaji wengi kwa sasa wanaonenakana kama hawaaminiki isipokuwa...
  4. Rais Samia, Mteue ACP Theopista Mallya awe Mkuu wa Trafiki Nchini, asante kwa kumteua Kaganda

    Salaam Wakuu, Rais Samia ameonesha Ushujaa ukomavu mkubwa na Ushujaa wa nguvu, kumteua Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kutokana na ajali kuongezeka barabarani, ni muda mwafaka rais kumchukua Mkuu wa Polisi Mkoa wa Rukwa Kamishna Msaidizi wa Polisi...
  5. Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini. Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji. Wasanii Wameonekana kutokua...
  6. S

    Kutokana na support anayoipata, Andrew Chenge anaweza kuwa ni Spika ajae na hii itathibitisha CHADEMA walikuwa sahihi kumteua Lowassa kuwa mgombea wao

    Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na...
  7. Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai. Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata...
  8. H

    Kumteua Mwijaku kuwa mhamasishaji wetu ni kuunajisi mpira

    Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu. Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe mhamasishaji kweli? Like serious! Kwenye press yake 99.9% kaitumia kushambulia maisha binafsi ya Manara...
  9. M

    Asante Rais Samia kwa kumteua Sofia Mjema kuwa RC mpya wa Shinyanga

    Ni Dada ( Mama ) ambaye kuanzia ndani ya Chama Tawala (CCM) alikuwa amepikwa vyema ila alipokuwa DC wa Ilala kila alipotakiwa Kupandishwa kuwa Mkiu wa Mkoa kuna Mtu Mmoja (sasa amenyamaza sana) japo huko nyuma alikuwa ndiyo kila Kitu Tanzania alikuwa akimfitinisha kwa Baba yake wa Hiari na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…