kulogwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli Muhammad aliwahi kulogwa?

    Nimemsikia Babu Tale akisema Mtume Muhammad aliwahi kulogwa Inawezekanaje mtume wa mwenyezi mungu analogwa kama kweli uchawi upo ?
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji hawaogopi kulogwa kubadilishana badilishana jezi ambazo tayari mtu umeshazivaa?

    Miongoni mwa vitu ninavyovishangaa ni hiki kitendo cha kukubali mchezaji kugawa jezi yako yenye jasho lako kwa mchezaji mwenzako kwa kigezo tu cha kukubali uwezo wako. Kiuhalisia miongoni mwa silaha kubwa mtu akitaka akumalize kabisa (akuroge) kiurahisi basi akipata nguo ambazo umeshazivaa...
  3. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa

    Habari wakuu, Kwa ambao hawanifahamu, nipo Bariadi huku Gamboshi napiga bachelor of science in uchawi wenye faida (digrii isiyo rasmi). Katika uzi huu nitaeleza ninayojua kuhusu mada tajwa hapo juu. Magonjwa yanayotokana na uchawi ni magonjwa ambayo hayapo kwenye Standard Guideline Treatment...
  4. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Hii Taarifa ina ukweli gani? Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki === Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
  5. JamiiForums Tanzania Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…