kulinda

The eighth season of NCIS: Los Angeles, premiered on CBS on Sunday, September 25, 2016 with a two-episode premiere and concluded on May 14, 2017. The season contained 24 episodes. For the 2016-17 U.S. television season, the eighth season of NCIS: Los Angeles ranked #11 with an average of 12.51 million viewers and in the 18–49 demographic ranked 43rd with a 1.8/6 Rating/Share.

View More On Wikipedia.org
  1. Je ni kweli M23 nao wamekuja kulinda Bandari?!

    Wakuu, wakati naperuzi huko Jasusi TV nimekutana na hii habari ya kutisha sana, wadau wa maandamano ni bora muahirishe hadi siku za usoni https://youtube.com/shorts/3GCF3WoAMNg?si=QArzIsuclu4_26AG
  2. W

    GE2025 Mjumbe wa ZEC, Awadh: Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda bila ubaguzi, kukengeuka wala kushabikia upande wowote kwenye Uchaguzi

    Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo. Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
  3. M

    Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  4. Kama Serikali imeshindwa kujua anayeteka na kuua raia, maana yake imeshindwa kulinda Raia, iachie watakaoweza

    Ni simple logic, Samia ndio anaongoza serikali, vyombo vya usalama vinawajibika kulinda mipaka, raia na mali zao. Kama raia wanatekwa na kuuawa, na mwenye mamlaka yeye hahusiki na huo utekaji, lakini pia 1. Hajui watekaji ni kina nani 2. Huwezi kuzuia utekaji. Maana yake ameshindwa uongozi i.e...
  5. Ali Kibao:Hatuwezi kulinda amani ya watu waliomteka, kumtesa, kumwagia tindikali na kuutupa mwili wake jalalani

    Hakuna amani kwenu, amani itakuwa kwa nchi yetu Tanzania pekee. Wote mliohusika kwenye hili, mtalipia
  6. Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

    Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi. Hatuwezi tukawa tunaishi...
  7. GE2025 Mlikuwa mnawaza nini? kwamba mtaua, mtateka, mtachezea kodi zetu halafu tutakaa kimya ili kulinda AMANI ya familia zenu?

    You guys are so clueless Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  8. A

    KERO Uhaba wa Paspoti unaondelea nchini ni matokeo ya kulinda viongozi wazembe

    Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa vitabu vya paspoti katika Idara ya Uhamiaji, taarifa za ndani wanadai wanatoa si zaidi ya paspoti...
  9. Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  10. B

    CCM lala hoi mjue mnapoapa kulinda CCM jueni wazi, mnatumiwa kuzilinda familia 3

    Unakutana na kijana anajiita Msambwanda mara mwingine anajiita chinembe kutwa nzima kutetea CCM. CCM ya Leo ndugu zangu wabangaizaji sio ile alioasisi Mwl JK Nyerere. CCM ya Leo ni ya mabwanyenye ambao umasikini wako wewe mwanaccm sio kipaumbele chao zaidi ya kuongwa kanga na kofia ili...
  11. Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  12. Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapoamka Asubuhi ili Kulinda Afya Yako

    Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati nasibu? Ukweli ni kwamba jinsi unavyotumia dakika zako za kwanza baada ya kuamka, huamua kasi na...
  13. Traore Mwanajeshi aliyeamua Kulinda Rasilimali za Nchi yake !! JWTZ kikatiba Ina WAJIBU huo, shuhudia za Polepole ,nalitegemea Jeshi lichukue Hatua !

    Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao. KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!. Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
  14. Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
  15. Nchi za SADC zahimizwa kutunza na kulinda amani

    Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel Shelukindo amesema kuwa licha ya changamoto za kisiasa, uhalifu unaovuka mipaka na matatizo ya kiuchumi kwa jamii ambayo yanaendelea kutafutiwa ufumbuzi, bado Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
  16. Leo ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo

    Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko. Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo. Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao. Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon...
  17. Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

    Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo. Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako. Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama...
  18. E

    CHADEMA kuikabili Sheria ya kulinda mashahidi

    Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
  19. Punguza matumizi makubwa ya "Medicated soaps" kulinda Ngozi yako

    Je, wewe n mmoja wapo ya wale wanunuao sabuni kwa kufata manukato pasi na kujali viambata viitengenezayo sabuni husika? Hili ni moja wapo ya zoea baya la walaji wa bidhaa mbali mbali nnchini. Moja wapo ya walaji hawa ni watumiaji wa sabuni za kuogea. Matumizi ya Sabuni zenye viambata vya dawa...
  20. M

    Angalizo kwa wana JF, usiweke video wala picha yoyote ya wanaomkataa mama waziwazi ili kuwalinda, ila kiufupi, watanzania hawamtaki

    Jamani, Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi! Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…