Kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, kumekuwepo na ukurasa uliochapisha video inayowahamasisha wanaume kutofanya mazoezi, ikidai kuwa kufanya mazoezi husababisha watu kutokuwa na afya njema. Katika video hiyo, mhusika anarejelea zamani akisema kuwa watu wa kale hawakufanya mazoezi, na...