kulinda kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwa nia njema tu: ACT Wazalendo mnakwenda Peramiho kulinda kura?

    Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa! Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako. Amen.
  2. Q

    PostGE2025 Zitto Kabwe: Tunakiri tulishindwa kulinda kura, sasa tuungane kupigania Haki

    Zitto: Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
  3. The Khoisan

    Ule mkakati wa ACT kulinda kura umeishia wapi?

    ACT Wazalendo walijitapa watalinda kura zao. Mbona kilio kimeanza kabla ya wakati. Kina Zitto waliwaingiza wenzao chaka kwa vile wana makubaliano maalumu na Mama. Kama nwenyewe anavyodai ni mtoto wake mpendwa.
  4. G Sam

    Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  5. R

    ACT, kama mnaweza kulinda kura, basi nilitegemea "MLINDE" kupokelewa kwa fomu za Urais zisikataliwe. Polisi watakuwa hivi vituoni, mtalinda kura kweli

    Mlisema mtalinda kura. Leo ilibidi muwathibitishie wanachama wenu/watanzania kuwa mtalinda kura. Ajabu mmeshindwa kulinda fomu zisikataliwe. Polisi wametanda, mmeshindwa kuingia hata ofisini! Mradi wa CCM as put by Polepole!
  6. Waufukweni

    GE2025 Baba Levo: Zitto akitaka kulinda kura tutampa zake azishike mkononi

    "Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
  7. R

    Nawezaje Kulinda kura ya Urais ambayo siwezi kuikatia rufaa Mahakama yoyote?

    Salaam, Kuna kundi la matapeli wanazunguka mtaani kuuhadaa umma kwamba tulinnde kura zetu, wengine wanatubembeleza tukapige kura ilhal wamebeba kura fake kwenye mabegi yao mgongoni! Hivi nikiilinda kura ya Urais kituoni, nawezaje Kulinda inapojumuishwa huko makao makuu? Na nisiporidhika na...
  8. R

    Kwahiyo Zito na ACT kushinikiza kubadili sheria na kanuni za uchaguzi kwao siyo issue, issue ni kulinda kura?

    Tumjadili Zitto, kweli huyu ana akili timamu? Kama ana akili timamu basi amekula kitu kutoka CCM Soma pia: Pre GE2025 - Je, ACT Wazalendo watakubali kushinikiza maboresho ya sheria ya uchaguzi kupitia msimamo wa Chadema?
  9. L

    ACT kulinda Kura bila Katiba: Kumudu Usalama wa Dhahabu kwa Mlinzi Kipofu

    Kulinda kura katika uchaguzi kwa kutegemea Majabali,marungu na Majambia bila Katiba au Sheria au Kanuni na Tume yenye Uhuru wa kutosha ni sawa sawa na kuwa na Mlinzi Kipofu kwenye ghala lako la dhahabu.Hapo Usalama wa dhahabu zako ni kwa kudra za Mungu au huruma za kaka Jambazi.
  10. 888I

    GE2025 "Tutalinda Kura 2025" — Lakini Kwa Mfumo Huu? Hebu Tuache Kujidanganya

    Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
  11. Dalton elijah

    GE2025 Yeyote anayekwambia atalinda kura ni tapeli

    2020 Niligombea...Nililinda kura zangu....Nikakusanya Matokeo yangu...Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo. Alikuwa na matokeo yake kwenye laptop. Na alisema wazi kwamba Tayari ana matokeo. Na akaniandikia Barua kwa Kiburi kabisa kwamba Niende kokote...
  12. M

    Muda wa kuchukua fomu ya urais ACT bado unaendelea? Nguvu kutoka ndani inaendelea kunisukuma

    Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP. Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
  13. Dalton elijah

    Huwezi kulinda kura ambayo tayari imeibiwa kikatiba, kisheria na kikanuni.

    Katiba: matokeo ya Rais hayawezi kuhojiwa katika mahakama yoyote. Tume hata ikifanya uchafu gani haishitakiwi. Sheria: wanaita sheria mpya, Chukua mfano wa upatikanaji wa Mwenyekiti, mkurugenzi na makamishina. Je Mwenyekiti Mwambegele, Mkurugenzi Kailima na makamishina wakina Mapuri...
  14. P

    ACT Wazalendo kuhamasisha kulinda kura ni uchochezi

    Naona ACT walisaini vitu ambavyo hawakubaliani navyo. Kwa sasa wanahamasisha wananchi kulinda kura, hilo siyo jukumu au wajibu wetu. Sisi ni kutiki na kwenda kusubiri matekeo hadi yatangazwe na tume huru ya uchaguzi. Ikiwa ACT hawana Imani na Tume ya Uchaguzi, basi kaeni pembeni kuliko hii...
  15. Sir John Deere

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Njia pekee ya kulinda kura yako kwa wivu mkubwa ni kukaa nayo mwenyewe ila ukiiweka tu kwenye box la kura ushaliwa tayari

    Kumekucha leo kwenye nyumba za Ibada habari ni uchaguzi , uchaguzi ndio habari. Askofu wa KKKT Dr. Bagonza Leo kawaambia waumini wake njia ya kulinda kura zao ni kukaa nazo ila wakitumbukiza kwenye sanduku la kura imekula kwao. 😂 Oktoba ipo karibu sana tutajuonea mengi. Mungu tusaidie kuvuka...
  16. sonofobia

    PreGE2025 Wana-CHADEMA tujitokeze Mlimani City kulinda kura

    Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda. Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura. Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili ya kuakikisha haki inatendeka. Ima ima tujitokeze kwa maelfu pale Mlimani City kulinda kura zetu...
  17. Inside10

    LGE2024 Wazee Wa Kigoma Wafanya DUA Maalumu Uchaguzi Serikali Za Mitaa kwa kuchinja ngamia

    Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’. Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT Wazalendo mkoani Kigoma wamefanya 'dua maalum' kwa ajili ya yeyote atakayehusika na kujaribu kuharibu...
  18. Waufukweni

    LGE2024 RC Makonda: Piga kura ondoka katafute pesa, kulinda waachie mawakala

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao. "Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda...
Back
Top Bottom