kulinda amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mufti Mkuu awataka Watanzania kuhubiri na kulinda Amani

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir Ali amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuhubiri na kulinda amani ya nchi, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa Uislamu na maendeleo ya taifa. Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa dini mjini Makambako, Mufti Abubakar...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanajeshi Mstaafu Seif Miraji Awasihi Watanzania Kulinda Amani na Kuepuka Upotoshaji Mitandaoni

    Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani. Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ali Kibao:Hatuwezi kulinda amani ya watu waliomteka, kumtesa, kumwagia tindikali na kuutupa mwili wake jalalani

    Hakuna amani kwenu, amani itakuwa kwa nchi yetu Tanzania pekee. Wote mliohusika kwenye hili, mtalipia
  4. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

    Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi. Hatuwezi tukawa tunaishi...
  5. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulinda amani ya mafisadi, watekaji, wauaji na watu wasio malengo mazuri na nchi yetu, Tutalinda amani ya nchi pekee

    Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao hawako tayari kupigania usalama wetu nchini. Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao wanaiba pesa zetu. Hatuwezi kulinda amani wanaotuteka na kutuua kisa ni kuwa WAZALENDO kwa nchi yetu. Hatuwezi kulinda amani ya watu wanaonormalize UFISADI, hii sio sawa na...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mlikuwa mnawaza nini? kwamba mtaua, mtateka, mtachezea kodi zetu halafu tutakaa kimya ili kulinda AMANI ya familia zenu?

    You guys are so clueless Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
  7. JamiiForums Tanzania Nchi za SADC zahimizwa kutunza na kulinda amani

    Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel Shelukindo amesema kuwa licha ya changamoto za kisiasa, uhalifu unaovuka mipaka na matatizo ya kiuchumi kwa jamii ambayo yanaendelea kutafutiwa ufumbuzi, bado Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kutoka Irani kuwa Nchi ikichafuka hata viongozi hawatakuwa Salama, Kulinda Amani na Haki ni wajibu kwa Sote

    Kumekuwa na nyimbo za kila siku. Makabwela tunaambiwa tutunze amani amani...... Linapokuja swala la kutendewa haki sisi makabwela hatukumbukwi. Tunahimizwa tu tutunze na kulinda amani. Kilichotokea kwenye Machafuko ya sasa huko Nchini Irani kimetupa funza kali Mkuu wa Nchi hiyo amekimbia...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atishika na 'No reforms no election' asema jambo la msingi ni kulinda amani 'kuna vita huko duniani'

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe. Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi...
  10. JamiiForums Tanzania Mchengerwa anasema yupo tayari kutoa uhai wake kwa ajili ya kulinda amani ya nchi. Mzaha si mzaha!

    Huyu waziri wa nchi bwana Mchengerwa kwa mapovu anayotoa huenda wadau wamebinya penyewe. Sasa anasema ikibidi kutoa uhai wake ili kulinda amani ya nchi basi atafanya hivyo na yupo tayari. Kwa miaka ya karibuni huenda huyu ndiye waziri wa kwanza wa TAMISEMI akiongelea mambo ya ulinzi wa nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Epuka mihemko ya kijinga ili kulinda amani ya nchi yako

    UZI MAALUM Ikiwa taifa lolote litaingia kwenye machafuko (vita au mapigano ya wenyewe kwa wenyewe) kwasababu ya siasa, dini, makabila, n.k - yafuatayo ni baadhi ya matokeo ambayo yanaliandama taifa lililoingia kwenye machafuko. Kabla sijaorodhesha matokeo hayo kwanza rejea mataifa ya Afrika...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais TAHLISO: Tumieni nafasi zenu za kuwa wasomi kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Ndg. Geofrey Kiliba, ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanaendeleza amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza leo Aprili 13, 2025 jijini...
  13. JamiiForums Tanzania Anayepaswa kulinda amani ya nchi hii ni CHADEMA pekee?

    Naona hivi karibuni, Kila kiongozi wa serikali au wa kidini anayesimama anasema vyama vya siasa vinapaswa kuilinda amani ya nchi. Lakini katika maelezo ya Kila mmoja kwa kina, utagundua anazungumia agenda za CHADEMA ikiwemo Ile ya "no reforms, no election". Yaani kwa tafsiri nyepesi...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo: Kuna Wakuu wa Mikoa wanaingilia michakato ya uwandikishaji wa wapiga kura wapya kwa kigezo cha kulinda amani

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe wake waliobahatika kuuona Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Inshallah tuendelee kumuomba Allah (S.W)...
  15. JamiiForums Tanzania Uzembe wa SADC kuligeuza jeshi lake liwe la kulinda amani DRC badala ya kupigana ndicho kinachofanya M23 na Rwanda waonekane kama wana uwezo mkubwa

    Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo DRC,ambayo ni nchi mwanachama ili kusaidia kurudisha hali ya amani eneo la mashariki DRC. Jeshi la SADC...
  16. JamiiForums Tanzania Kinachowapeleka wanajeshi wetu Congo na kwingineko kulinda amani ni pesa na si kingine

    Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda. Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu. Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda Congo, Sudan na kwingineko kulinda amani. Pia kwa kufanya hivyo tunapokea misaada ya zana za kivita Ili...
  17. JamiiForums Tanzania Tusitegemee Jumuiya au mataifa mengine kulinda amani yetu-Tulinde amani yetu wenyewe!

    - Kinachoendelea kwa majirani zetu DRC ni ishara kuwa amani ikitoweka nchini mwako basi usitegemee eti utapata usaidizi wa Jumuiya au mataifa ya nje kusaidia kuirejesha amani hiyo. - Vivyo ivyo ikitokea kwa mfano nchi imevamiwa na watu wa ndani au wa nje na amani kuharibika basi usitegemee eti...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi wa Hamas katika rangi ya bluu warudi mitaa yenye vifusi kote Gaza kulinda amani

    Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hali hiyo inatokana na kurudi kwa polisi wa Hamas wakiwa wamevalia sare zao...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Tunafanya kazi usiku na mchana kulinda amani

    Waziri wa Ujenzi na mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega ameaungana na wananchi wa wilaya hiyo, kufanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa majukumu yake, pamoja na kuliombea Taifa ili liwe na amani, umoja na mshikamano utakaowezesha maendeleo endelevu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…