kulea watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Natafuta mwanamke wa kuishi naye na kulea watoto

    Hello, mimi ni mwanaume mwenye watoto wa tatu, ni dereva Bajaji, nahitaji mwanamke wa kuishi nae na kulea watoto umri kuanzia miaka 27 hadi 35, sichagui rangi, dini wala kabila. Awe tayari kuishi Arusha
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mume na mke mkishirikiana, Kulea watoto ni rahisi na Raha kama kunywa Maziwa.

    MUME NA MKE MKISHIRIKIANA, KULEA WATOTO NI RAHISI NA RAHA KAMA KUNYWA MAZIWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ndio maana unatakiwa uwe Makini Sana kutafuta mwenza wako. Ndio maana unapaswa ufanye ngono Salama, hasa mwanamke. Sio kutobolewa tobolewa kiholela na kupata mimba bila mipango...
  3. and 998 others

    Mtu anawezaje Kulea watoto 15, wake 5 na ukoo bado unakutegemea

    Mwamba kazidi hata Idadi iliyowekwa kwa Wavaa kobazi (4). Watoto wanaojulikana kama wote (15) bado wasiojulikana na ndugu wa Mchongo wanaohitaji Msaada kwako. Hapo kwa Mshahara upi?
  4. R

    Sina maana ya kuubeza urafiki lakini nazidi kukazia stay very close na ndugu na familia yako, Marafiki ni wa muda tu

    Simaanishi kuwabeza marafiki, Hapana !! Maisha yetu kwa kiasi kikubwa tunazungukwa na watu wa nje hivyo katika haya mazingira unaweza kuwa na marafiki shuleni, Vyuoni, Mitaani, kazini, Bar, Biashara, n.k. lakini kawaida yao huja na kuondoka hivyo sio wa kuwapa kipaumbele sana. Kuna rafiki...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwenu wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi. Kipi bora mke wako kulea watoto na kutunza familia ama kazi?

    Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake. Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
  6. G

    Ni sababu zipi zinazoweza kuelezea kupungua kwa uwezo wa single moms wa kisasa kulea watoto wa kiume?

    Muhimu: Tatizo hili lipo hata wakiwepo wazazi wote au baba pekee lakini kwa kwa single moms ni kiwango kikubwa zaidi na haimaanishi ni wote Ni tofauti na zamani, haikuwa shida sana kwa kina mama kulea watoto hasa kimaadili na uwajibikaji. Hali ya sasa imekuwa tofauti sana kwa single moms toleo...
  7. L

    Albert Chalamila: Wazazi Temeke Hawawajibiki Vizuri Kulea Watoto wao

    “Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto. Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
  8. W

    Case closed: Wahehe na wabena waendelee kupewa maua yao kwa kujitahidi kuwa wavumilivu kwenye ndoa, kujishusha na kulea watoto vizuri

    ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k. Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
  9. Junior Lecturer

    Aliahidi kufunga ndoa na mzazi mwenzake ila kafunga ndoa na mtu mwingine

    Iko hivi! Huyu mwamba Ali kuwa na Mpenzi wake ambaye Mwanachuo. Mwamba ni alisha maliza chuo kitambo kwa anapiga zake kinanda kwenye moja ya church hapa Town. Mwaka wa pili mwanzoni Manzi akadaka ujauzito. Akajifungua mwaka watatu mwanzoni. Wakalea mpaka Manzi alipo hitimu chuo. Mwamba huduma...
Back
Top Bottom