kulea mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Machozi, Matunzo na Sheria: Unachopaswa Kujua Kabla ya Kudai Fidia kwa Kulea Mtoto "Usiyemzaa" (almaarufu wa kusingiziwa)

    Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
  2. JamiiForums Tanzania Ni laana kulea mtoto wa mwanaume mwenzio anaepumua kwa bondi ya mbunye kutoka kwa mamaake

    Bora ukaathiri yatima Hela zako bora unywe pombe Ukishindwa kabsa kampe mwamposa Ukzidiwa sana nenda riverside Kama vipi bora humchangie kanji ujenzi wake kule Mumbai Lakn kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ambae bado anavuta oxygen hapa dunian ni ulofa wa kiwango cha lami
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa za waliolelewa na mama pekee, ni Shida?

    Kuna ukweli kwamba mwanaume aliyelelewa na mama pekee AKIOA mwanamke aliyelelewa na mama pekee WAKIOANA basi ndoa yao ni matatizo matupu?
  4. JamiiForums Tanzania Kulea mtoto wa kiume ni ngumu kuliko wa kike,

    Tuwe makin sana Kwakuwa mmmm watoto wanaharibika sana hasa wa kiume wanaokulia pwani na dar
  5. JamiiForums Tanzania KULEA MTOTO WA KIKE NI GHARAMA ZAIDI KULIKO WAKIUME

    Takwimu za Britain sainsbury bank, zinasema kuwa wazazi wenye watoto wa kike wanatumia zaidi ya dola 400 toka kuzaliwa mbaka umri wa miaka mitano tofauti na wazazi wenye watoto wa kiume. Sababu kubwa ni mavazi. Mavazi ya kike ni gharama zaidi ukilinganisha na yakiume mfano gauni, viatu, kofia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kulea mtoto ni zaidi ya kumtimizia mahitaji na kumpenda, Wamama wa kisasa ni ngumu kulea watoto wa kiume, wapeleke watoto kwa wanaume kujengwa kitabia

    Watu wengi huwa wanadhani kulea mtoto ni kumpenda na kumtimizia majukumu kama chakula, nguo, elimu na matibabu. Kulea kunahusisha pia kitu muhimu kumjenga mtoto kitabia, Kina mama wengi wa kisasa hawawezi kumjenga mtoto wa kiume kitabia kwasababu wao ni wanawake na mazingira yamekuwa yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Habari zenu wadau!, nahitaji ufafanuzi kidogo hapa, nilikuwa na Girlfriend wangu ambaye alipata ujauzito na kuniambia kwamba ni ujauzito wangu. Tangu hapo niliamua kwa upendo tu kumhudumia katika kipindi chote cha ujauzito hadi alipojifungua. Japo sikuwa naishi nae lakini nilimpatia mahitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikudhani kama nitakuja kulea mtoto wa mtu ila huyu dogo kabadilisha mtazamo wangu

    Hastaili kabisa kuishi bila baba
  9. JamiiForums Tanzania Sheria ya malezi iseme; kama Mwanamke hawezi Kulea mtoto ampeleke Kwa Baba yake. Hiyo ndio Mantiki na si vinginevyo

    SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa wanaotunga hizi sheria uwezo wao wa kufikiri ukoje nazungumzia hizi sheria za mahusiano hasa ya Mume na...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mimi baba yake wala mama yake Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inakwenda kuvunjika naombeni ushauri nifanyeje?

    Nimeishi na mwanamke miaka 10 tuna mtoto mmoja wakike yupo darsa la 5. Mimi ni fundi ujenzi nafanya kazi za mashirika kama NSSF, ALUMINIUM EMIRRAT naza mitaani ndogo ndogo. Familia naihudumia kwa kila kitu na mke anafanya kazi siku nikikwama akitoa hata buku yake ni ugomvi. Sasa naona mwezi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…