kulazimishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ni sahihi Kulazimishwa kuchanja chanjo ya korona?

    Habari wanajukwaa, Nakuja kwenu wanajamvi kuuliza kama ni sahihi mtu kulazimishwa kuchanjwa hasa hii chanjo ya korona. Nijuavyo mimi mtu anatakiwa aelimishwe kisha ahiari pasipo shuruti. Lakini Hali ni tofauti mkoani RUKWA wilaya ya NKASI kwani kinachoendelea sio uelimishaji wala uhamasishaji...
  2. Mrusi ampiga risasi msajili kisa kulazimishwa akapigane Ukraine

    Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi... ========= A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on Monday, reports said. A video of the incident shared online shows an official collapsing on stage after a...
  3. Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

    Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
  4. Abiria kulazimishwa kuteremka Kituo cha Mbezi tuliambiwa Wafanyabiashara walilalamika kukosa wateja, leo mmh!

    Hii amri ya abiria toka mikoani kushushwa Mbezi mbona hatupewi ukweli, siku zilizopita ilidaiwa mkuu wa mkoa alilalamikiwa na wafanyabiashara kuwa wanakosa wateja! Hivi sasa tunaambiwa eti ni usalama kudhibiti wahamiaji! Kwani wahamiaji hawawezi kushuka au kupanda Kibaha au Bagamoyo! Mabasi ni...
  5. SoC02 Uzalendo hauji kwa kufundishwa ama kulazimishwa, bali ni matokeo ya Wananchi kuridhishwa na namna nchi inavyoendeshwa

    Utangulizi Uzalendo ni hali ya mtu kulipenda na kulitumikia taifa lake kwa moyo wa dhati. Uzalendo ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote kwa kuwa ndicho kichocheo cha ndani kabisa kwa mwananchi mmoja mmoja kulijenga na kulipigania taifa lake katika nyakati ngumu na nzuri. Hivyo, ni...
  6. Geita: Mwanafunzi wa miaka 14 ajinyonga mtini baada ya kukasirika

    Mwanafunzi Saada Ngedea(14) wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Shinamwenda Mkoani Geita amefariki dunia kwa kujinyonga kwa kamba ya mti ambayo aliifunga kwenye mti. RPC wa Geita Henry Mwaibambe amesema chanzo cha kifo ni kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa analazimishwa kutoka Kijijini wao na...
  7. Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

    Wasalaam wana MMU. Nyuzi kuhusu ndoa kuwa ni chungu, yenye mateso zimekuwa ni nyingi sana humu jukwaani. Leo nimeona nitoe ushuhuda wa maisha yangu ya ndoa ndani ya miaka 14. Kwangu mimi ndoa imekuwa ni baraka sana na yenye furaha. Natoka katika jamii ambayo elimu haikuwa kipaumbele kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…