kukata miti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zogolo1550

    Huduma ya kukata miti kwa kutumia chainsaw

    Tunatoa huduma ya kukata miti iliyo katika mazingira hatarishi na mashambani. Tunapatikana mbezi mwisho (DAR ES SALAAM) 0679900852/0758700852
  2. M

    Natafuta mtu wa kukata Miti

    Nimefuta maana nimeshapata mtu
  3. Roving Journalist

    Waziri Jumaa Aweso awataka Wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    Japan miti haikatwi, husogezwa kupisha ujenzi

    Ukitembelea Nchi ya Japan kama mimi nilivyofanya Kuna mambo Mengi ya kushangaza kule😃!! Najua umeshtuka sio, Nchi ya Japan miti haikatwi katwi hovyo hata kama Iko kwenye njia ya Eneo ambalo linapaswa barabara nyumba kujengwa, huweza kuhamishwa kwa uangalifu. Badala ya kuharibu asili kwa...
Back
Top Bottom