kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kujitolea hakufai kua kigezo cha taifa watu kupewa ajira; Badala yake serikali iongeze ajira kutaondoa tatizo

    Hoja ya Kujitolea Kama Kigezo cha Ajira Serikalini: Je, Ni Suluhisho au Tatizo? Hivi karibuni, Spika wa Bunge aligusia suala la kuwazingatia wale waliojitolea kama kigezo cha kuajiriwa katika nafasi za serikali. Ingawa nia ya serikali ni kusaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana, hatua...
  2. Kujitolea huku unasoma chuo

    Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu waliowahi kufanya hivyo kipindi wapo chuo. Asante
  3. Sishauri kwa kijana ambaye amesoma kwenda kujitolea JKT

    Habar zenu Sababu zangu zinanzo nifanya nikate kwakijana mwenyewe elimu degree au diploma au masters kwenda jeshini yaani kujitolea Kwaza, unaenda kuua career yako mwenyewe uwezi kuwa competent katika taaluma yako ambayo umesomea kwasababu kule elimu inawekwa pembeni nguvu inatumika so that...
  4. Wito wa Kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa Kujitolea Mwaka 2024. Kazi kwenu!

    Wazee niaje Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba. Mshindwe ninyi tu!
  5. Asanteni wadau lile wazo letu la kibiashara ya (hotspot manage) linaendelea vizuri ila kwa sasa tunahitaji muekezaji mwenye mtaji kati ya 5m to 10m

    Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au...
  6. Nishaurini kuhusu kujitolea halmashauri

    Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi...
  7. Maisha ya Chuo na Kujitolea

    Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ni Moja kati ya Vyuo nchini Tanzania ambacho unaweza kusoma na kujitolea kufanya kazi pia. Kwa wale waliosoma UDSM-SJMC watakuwa wananielewa kuwa kutokana na ile Televisheni,Radio na Gazeti wanafunzi wanaojitolea kufanya kazi hapo huwa wanapata kipato...
  8. W

    Natafuta nafasi ya kazi ya kuajiriwa au kujitolea. Nina Stashahada ya Uhasibu

    Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
  9. Natafuta nafasi ya kujitolea, nina shahada ya Uandishi wa Habari

    Habari, Mimi ni mvulana natafuta nafasi ya kujitolea shirika lolote Nina degree ya Journalism nipo mkoa wa Iringa
  10. Kujitolea kwenye kampuni hasa viwanda

    Habari waungwana naamini kuna wengi sana walio nitangulia naamini nitapata mawazo chanya, kwa sasa nipo DSM ila nataka nitume maombi ya kujitolea kwnye viwanda vilivyopo Mbeya, Iringa, Njombe, na sehemu nyingine makampuni ya Coca, Mo, Asas, ili niweze kujitolea nina imani ya kuwa wanaweza...
  11. Kujitolea kisiwe kigezo cha kupata ajira za serikali

    AJira ni haki ya kila Mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele. Kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana...
  12. G

    SoC04 Programu ya Walimu wa Kujitolea ya Ndani (Local Volunteer Teacher Program)

    Maelezo ya Mfumo:Programu hii inalenga kuhamasisha na kutumia nguvu kazi ya ndani, ikiwa ni pamoja na wahitimu wa vyuo vikuu, walimu wastaafu, na wataalamu wengine wenye elimu na ujuzi wa kufundisha ili kujitolea kama walimu kwa muda maalum katika shule za msingi na sekondari...
  13. Kuhusi nafasi za kujitolea

    Napenda kuwasilisha kama inavyojieleza je BOT taasisi huwaga haitoi nafasi kwa vijana wa kujitolea au ??? Wenye ujuzi wa hili msaada
  14. Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  15. Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

    Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu. mawasiliano: 0656058186
  16. Natafuta kazi au kituo cha kujitolea

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB Uzoefu sio mkubwa niliwai kujitolea katika hospitali ya Nkinga kama supplier officer/ storekeper...
  17. Nafasi za kujitolea NYS Tanzania

    NYS TANZANIA inapenda kuta taatifa ya nafasi za kazi za kujitolea maka ifuatavyo Mwisho wa kutuma maombi ni jumatano tarehe 13/3/2024 SAA 6 usiku.!!
  18. Mwalimu wa kujitolea CHEMISTRY and BIOLOGY

    Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology bachelor(2022) Ninatafuta shule ya serikali yenye uhitaji wa mwalimu wa kemia na baiolojia. Iniajiri kama mwalm wa kujitolea. Napatikana mkoani Mbeya.
  19. B

    Natafutafuta kituo cha kujitolea nimesoma kozi ya Clinical Medicine

    Habari wana JF, rejea na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana nipo mkoa wa mwanza, nimemaliza Chuo mwaka Jana(2023), nimesoma kozi ya clinical medicine (utabibu) katika ngazi ya certificate (tabibu msaidizi)/ clinical Assistant, hivyo Basi nilikuwa naomba/ natafuta nafasi ya kujitolea iwe...
  20. L

    Moyo wa kujitolea wa madaktari wa China wathaminiwa na wagonjwa waliotibiwa na kupona wa Tanzania

    Hivi karibuni serikali ya Tanzania iliishukuru serikali ya China kwa kutuma timu za madaktari wa kwenda kusaidia kutoa huduma za afya kwa watu wa nchi hiyo. Imekuwa ni desturi ya serikali ya China kutuma timu za madaktari katika nchi za Afrika kila baada ya miaka miwili. Kupitia ushirikiano huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…