Nishati (energy) ndiyo mhimili wa uchumi wa nchi. Mataifa makubwa kama Marekani hutafuta nishati kwa nguvu kubwa kwa sababu yanafahamu umuhimu wake. Modern geopolitics ipo centred around energy.
Kwa wale wazee wa "Tujifunze skills za AI , AI is the future" takwimu zinaonesha matumizi ya...
Rais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza kujenga uchumi stahimilivu wa nchi yake!
Yeye akisimama kuzungumza utasikia "Tumepata mkopo wa...
Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi
Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
Habari wana-JamiiForums,
Nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa serikali tangu mwaka 2023 nikiwa kama afisa tabibu (clinical officer). Nimeleta uzi huu kwenu nikiomba ushauri kuna mambo kama mawili natamani kuyafanya la kwanza ni kujiendeleza kielimu na la pili ni kufanya biashara vyote nikiwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.