kujichua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Kujinajisi aukujizini mwenyewe (kujichua)

    Ni Kujinajisi kwa kujizini mwenyewe au KUJICHUA. Ni unaangia maagano ya ndoa na mapepo ,lakini unapoteza baraka, zako zinaibiwa na mapepo ,nguvu ya maombi inafifia/inapungua,unavamiwa na maroho ya uharibifu..unakuwa mtumwa wa kujichua mara kwa mara na kuwaka tamaa ya kutamani uzinzi mara kwa...
  2. F

    Kujichua, faida kiafya na kisaikolojia na mambo ya kuzingatia

    😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia. Faida zinazojulikana Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika kileleni mwili hutoa homoni kama dopamine na oxytocin ambazo huleta hisia za furaha na utulivu...
  3. Tlaatlaah

    KUJICHUA NI PAMOJA NA KUPIZI NJE YA MFUMO.

    Eti anakwambia kojolea nje. bandugu zangu, hiyo si ni sawa na kupiga punyeto tu my friends, ladies and gentlemen? Hakuna haja ya kukutana basi kama ni hivyo. Kupigishana nyeto haikubaliki nyakati hizi tafadhali. kama hutaki kwendraa dhako huko 🐒 Mungu ibariki Tanzania
  4. L

    Msaada wa kupambana na uraibu wa kujichua kupita kiasi

    Habari Wanajf "Nimekuwa nikijichua mara nyingi sana kwa miaka saba iliyopita, nimekua nikifanya hivyo mara kwa mara na kama ikitokea sijajichua basi siwezi kukaa zaidi ya siku mbili kwa week ,hivyo kwa makadirio na mahesabu yangu ninaweza nikawa nimejichua zaidi ya mara 2000 ndani ya miaka...
  5. MKALI W MAMBO

    Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

    Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote. Kuna...
  6. Jack Daniel

    Punyeto au kujichua na madhara kiroho

    Hello jamiiforum. Hope mko salama Happy birthday to me , Nimezaliwa tarehe 2 Mwezi wa pili Miaka mingi iliyopita. Hivyo ni kumbukizi nzuri kwangu Leo tuone madhara ya punyeto kiroho si kimwili, ipo hivi punyeto au kujichua ni hali ya kujisisimua kwa kuvuta picha ya mtu fulani anatevutia...
  7. Knock life

    Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

    Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
  8. Brojust

    Uraibu wa picha za ngono na kujichua

    Mimi sio daktari ila nasikia ni kianzilishi kikubwa sana cha magonjwa ya moyo. Vijana wenzangu ukifikia hali ya kupiga nyeto mpaka mara tano kwa siku basi ujue kwamba una hali mbaya sana. Kama kuna dawa ya kuacha nyeto basi wataalamu tusaidieni. Ndio maana siku hizi watu wenye matatizo ya...
  9. G

    Dully Sykes alinifanya nianze kujichua nikiwa na umri mdogo bila onyo la kusikiliza mashairi ya kiutu uzima, naweza kumshtaki?

    Ni mwaka 2002 nikiwa na miaka 12 nilikuwa nasikiliza nyimbo za Dully Sykes, Katika moja wa wimbo wake kuna unaoitwa "Nyambizi" kuna sehemu anaimba Nyambizi, nionee huruma mi sio kuchu, nipe japo kiduchu Mi nshachoka kupiga puchu! Kama mnavyojua zamani kaseti unaweza kuirudia hata mwaka mzima...
  10. Tlaatlaah

    Ulianzaje kujichua

    Nini kilikuchochea, kushawishi na kukutumbukiza kwenye kadhia hii nzito ya feheha, na yenye sura ya utumwa binafsi wa kisiri siri? Utumwa ambao ni mzigo mzito unao dhoofisha na kunyong"onyeza uwezo wa vijana wengi kwenye ndoa hivi sasa physically, mentally psychologically? Ulianza kabla ya...
  11. N

    Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?

    Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho? Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo? Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia wasomaji na walio katika hali hii kwa muda mrefu au wanatamani waanze
  12. Tlaatlaah

    Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

    Vijana wa kike na wakiume hususani mnao ishi hostels mnajichu na kusagana mno. Hali hiyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi siku za usoni. Hali hii inachochea na kushamiri kwa ongezeko kubwa la vijana wengi wa kiume kukosa pumzi, nguvu na stamina ya kujamiiana vizuri na kufika mshindo wa nguvu na...
  13. Lighton

    Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ni utafiti ambao, umefanywa na unaendelea kufanywa na watu, ambao ni wahanga wa hiki kitendo(hili janga) ambao either ni wapenzi wa huu mchezo, ambao wamechoshwa na hiki kitendo au wale ambao wanatamani kuacha lakini wameshindwa kabisa kuacha. Makala hii...
  14. Choosen85

    Je, mke wangu ana tabia ya kujichua?

    Wakuu mko salama? Jamani mimi nina mke, tatizo ambalo nimelileta kwenu ni kwamba mke wangu toka siku ya kwanza kufanya naye mapenzi basi ili afike kileleni ni lazima wakati tukiwa kwenye tendo niwe nimempa nafasi awe anajisugua kisimi na kufatisha kasi ninayokwenda nayo. Akikaribia kumwaga...
  15. Yofav

    Mkuu ukishaoa acha kujichua

    Habari wakuu, I know kwamba ni issue ambayo naweza kuikaushia ila nahisi ni tabia ambayo imenikera sana. Hapa ninapoishi kuna jirani yangu nahisi ana urahibu wa kujichua, Alafu ubaya ni kwamba anajichulia bafuni ambapo vyoo vyetu hivi vya public inakuwa sio ustaarabu, Huyu mwamba ananikwaza...
  16. Melki Wamatukio

    Mwanamke asiye na muda na wanaume ni mraibu wa kujichua?

    Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume. Kuna ukweli ndani yake kuwa wanawake wa namna hii ni waraibu wakubwa wa punyeto?
  17. Lighton

    Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  18. Binadamu Mtakatifu

    Support community ya kupambana na addiction kama kujichua, pombe , bangi , kupata marafiki, betting na others NJOO UNIPE MAWAZO YAKO KAMA SIO KUJIUNG

    Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum...
  19. Ben Zen Tarot

    Ewe mwanamke acha kujichua

    Mwanamke Umewahi kupiga punyeto? Umewahi kujichua? Umeshazoea si ndiyo? Unajua madhara yake? Punyeto ni nini? Punyeto ni kitendo cha kujichezea sehemu za siri ili kujisisimua na kujiridhisha kimapenzi. Iwe kwa vidole, tango, karoti, midoli ya maumbile ya kiume, vibrators n.k. Kuna njia nyingi...
  20. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    leo Siku ya 7, nimetimiza Week bila Kupiga punyeto. Asante Mungu kwa kuwa unaendelea kunisaidia na kuniimarisha zaidi. Ninaweza kwa kuwa waniwezesha. Ngoja niweke NENO kwa wingi moyoni mwangu kwa kuwa sitamani kurudi nyuma bali kusonga Mbele. Nazidi kuona kuwa inawezekana kuacha kupiga punyeto...
Back
Top Bottom