kujali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Chalamila: Rais Samia ameunda serikali kwa kujali hisia za watanzania

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema maelekezo yote yaliyotolewa na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya hotuba yake baada ya kuapishwa yametekelezwa na yanaendelea kutekelezwa kwa kufanyia kazi makundi yote ya msingi kwa kusikiliza hisia zao, matatizo yao ili...
  2. Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  3. Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  4. Maana halisi ya Demokrasia ni mgawanyo wa madaraka kwa zamu, bila kujali ubora wa kiongozi

    Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake" Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka. Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
  5. K

    Tatizo Polepole kujali uchama kuliko nchi🤦🏾‍♂️

    Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa. Polepole haongelei katiba mpya, utekaji, rushwa, uzembe, uzaji wa bandari na mikataba mibaya badala yake kuongelea taratibu za tamaduni...
  6. Mzazi unapaswa kujali usalama wa mtoto wako

    Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule. Right Marker Dar es salaam
  7. Waarabu Hawajawahi Kujali Haki za Watoto: Kinachoendelea Zanzibar na Kesi la Ulawiti ni Dalili Za Mwanzo za Unyama unaofanyika Nchi za Kiarabu

    Na Tauceti Rigel Ni lini jamii itaamka kutoka usingizi wa kina, na kukubali kuwa baadhi ya tamaduni zinazofichwa nyuma ya pazia la dini ni vazi la unyama wa wazi? Swali hili linapaswa kutusumbua sisi sote, hasa wakati huu ambapo Zanzibar inatikiswa na kesi za ulawiti wa watoto huku wengi...
  8. Ufike wakati, bila kujali, wale waliokataa kusaini hati za maadili, wakae pembeni, wasijihusishe na siasa!

    Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani, ::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na...
  9. R

    Vilio vingi ni matokeo ya kuweka bajeti kubwa kwenye vifaa bila kuzingatia mafundi wenye CV na Uzoefu, Maiko atajenga hata kwa robo bei ila ujipange

    Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
  10. Kisaikolojia; Watu wanaoonyesha Kujali mbele za watu ndio Wakatili na wale wenye kutoonyesha kujali Mbele za watu ndio wenye Huruma

    KISAIKOLOJIA; WATU WANAOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WAKATILI NA WALE WENYE KUTOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WENYE HURUMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mara nyingi lakini sio zote. Watu wengi utakaowaona wanaonyesha kujali au kuonyesha huruma mbele za watu ndio makatili...
  11. Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
  12. Mambo ambayo ukifanya watu hawatasita kukuua. Bila kujali Sheria zipo au hazipo, Mungu yupo au hayupo

    NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh! Kuua ni Kwa nchi zisizoendelea! Ndugu zangu usije ukajidanganya Wala kudanganywa. Wala usije...
  13. K

    Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda

    Chadema itakuwa na msimamo mkali zaidi bila kujali nani atashinda. Hii ni kwasababu ya chaguzi na mwenendo wa nchi kwa sasa. Kama akishinda Mbowe bado itamlazimu abadilishe mbinu. Hivyo Kama Lissu akishindwa bado sera za Chama zitakuwa za misimamo mikali. Lissu akishida ndiyo kabisa. Mbowe ni...
  14. Kujali Majanga ya ajali kama Kariakoo Rais Samia ajifunze toka Rwanda kwa Kagame 9/Mei/2011

    Wananajamii forum,heshima kwenu. Ajali ya Jengo Kariakoo kuanguka,kwa maoni yangu kulikuwa kuchelewa kufanya juhudi kwa haraka Serikali hasa JWTZ wakati wa majanga. Vifaa sahihi, watu sahihi kwa majanga walichelewa kuja, na kuanza kazi yao. Ambassador choir of Christ wa wa Rwanda walipata...
  15. Sio utamaduni mzuri kushabikia utajiri na matajiri bila kujali wameupata vipi

    Utandawazi tunauvulia nguo na kuuoga kisawasawa bila kuzingatia misingi. Leo hii wananchi wengi wanapendezwa,kuhamasishwa,kutamani utajiri pamoja na matajiri hasa kwenye mali za kujionesha na kuona kila mtu anastahili kufika hapo Andiko langu limetokana na kuona video ya tajiri flani hivi mtu...
  16. Oktoba 10: Siku ya Afya ya Akili Duniani - Je, sehemu unayofanyia kazi inaheshimu na kujali masuala ya Afya ya Akili ya Wafanyakazi?

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka ikilenga kuongeza uelewa kuhusu masuala ya Afya ya Akili na kuchochea Watu kupata Msaada wa changamoto zinazotokana na Afya ya Akili. Kaulimbiu ya mwaka 2024 '#AfyayaAkiliKazini' imependekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ili...
  17. Kuna aina ya watu humu Duniani nawachukia sana😠

    Habari za muda huu Wana Jf. Niende Moja kwa Moja kwenye mada husika, Kuna aina ya watu sijui roho zao zikoje, tuseme ndio roho mbaya au vipi. Nafahamu tumetofautiana tabia na mienendo kutokana na makuzi na mazingira tuliyokulia. Kuna aina ya watu wakikupa kazi. Let say ufundi wa aina Fulani, au...
  18. G

    Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  19. Watu wema wenye kujali utu na sio pesa bado wapo

    Watu wanasema wachaga wanapenda pesa, ila ukweli na utu wanao sana, sitaki ku generalize kwenye ubaya wala uzuri. Katika harakati za ujana, nilikua na mahusiano na mrembo mmoja, ni mzuri kweli. Sikua na nguvu ya pesa, yule dada alinikubali zaidi kwa muonekano wangu, aoshee anahandsome boy...
  20. Mwanamke ambaye hajijali na hajali hawezi kukujali wala kujali Watoto wako

    MWANAMKE AMBAYE HAJIJALI NA HAJALI HAWEZI KUKUJALI WALA KUJALI WATOTO WAKO Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Unaweza ukawa kijana smart na mwenye bidii ya kutafuta maendeleo. Lakini ukajikuta jitihada zako zinaishia ukingoni baada ya kukutana na Mwanamke kisha ukamuoa(ukaamua kuishi naye)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…