kuishi muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jooohs

    JamiiForums Tanzania Kati ya igunga au Tanga ni eneo gani linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi muda mrefu

    Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu? Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo: Maisha nje ya kazi (quality of life). Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara. Utulivu na usalama wa mazingira. Upatikanaji wa huduma za...
  2. GoLC

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa nikitaka kuishi muda mrefu nisikilize ushauri wa mke wangu

    Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo. Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli, Mkapa, Kijazi, Mfugale, Lowasa, Sitta, Mandela, et al. List ni ndefu sana. Ajabu wote hao bado wake...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Wanaochangia figo wanaishi muda mrefu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
Back
Top Bottom