kuimarisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Trilioni 1.422 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini

    Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa mali ya umma moja ya nguzo muhimu kuimarisha CCM - dola katika ukandamizaji haki nchini

    TANU baba mzazi wa CCM aliyezaliwa 07/07/1954 na kuzikwa mwaka 05/02/1977 aliondoka na mambo yake yote. Kuzaliwa kwa CCM kulichagizwa na sababu ya Muungano wa nchi mbili Tanganyika ambaye ni Marehemu na Zanzibar zote zikiwa nchi zenye mamlaka kamili. Waasisi waliamini Muungano tu hautoshi,ili...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yahimiza Matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) Kuimarisha Mtangamano na Maendeleo EAC

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) ikiwa ni moja ya nyenzo muhimu na ya kisasa katika kukuza mtangamano na kuharakisha maendeleo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kupitia sekta mbalimbali ikiwemo Kilimo, Elimu, Viwanda, Afya na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaboresha kisima Keko Bora kuimarisha huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe, Wilaya ya Temeke, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mradi wa PAMOJA kukuza uchumi wa Wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia

    Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Msonde: Serikali imeongeza kasi ya kuimarisha usalama barabarani kupitia mafunzo ya kitaalam

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
  7. JamiiForums Tanzania Samia: Tanzania tunamuunga mkono Museveni kuimarisha usalama Maziwa Makuu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia nafasi yake kama mwenyekiti wa jumuiya hiyo. Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Starmer nchini China yaongeza wimbi la washirika wanaoiamini China na kuja kujadili kuimarisha uhusiano wao

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya juhudi za kurekebisha uhusiano wa Uingereza na China, nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  10. JamiiForums Tanzania Wauguzi watakiwa kuimarisha mawasiliano na wagonjwa

    Wauguzi wa afya wametakiwa kuimarisha mawasiliano bora na wagonjwa pamoja na kuzingatia miongozo ya kitaaluma badala ya kufanya kazi kwa mazoea, ili kuboresha utoaji wa huduma za afya na kuhakikisha mgonjwa anahudumiwa kama mteja mwenye thamani. Hayo yamebainishwa kupitia mafunzo maalumu ya...
  11. JamiiForums Tanzania FFU wakabidhiwa Magari 8 na Mkuu wa Mkoa Mwanza kuimarisha Utendaji wa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekabidhi magari 8 aina ya Toyotaland Cruiser 2 Hardtop na Toyota Hilux Double Cabin 6 kwa Jeshi la Polisi mkoani humo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1.3. Magari hayo yaliyokabidhiwa katika Viwanja vya Polisi Mabatini Jijini Mwanza, yatatumika...
  12. JamiiForums Tanzania Singapore na Tanzania zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kupitia Singapore Cooperation Program

    Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji, biashara na uwekezaji, elimu na kilimo ili kuchochea kasi ya maendeleo ya Taifa na wananchi wake...
  13. JamiiForums Tanzania Wadada, legezeni macho ili kuimarisha uhusiano

    Wadada, jifunzeni kulegeza macho ili kuboresha mahusiano yenu. Hapa nawaza, nitapata hela wapi nimpate mrembo mmoja wa huko Canada, baada ya kunilegezea macho. Haloo, nitajenga mwakani, kwa sasa nyumba si kipaumbele, ni kula vitu vizuri kwanza. Kazi kwenu.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Exim Bank Tanzania, JKCI Zashirikiana Kuimarisha Afya ya Wafanyakazi

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania, Stanley Kafu (kushoto), Afisa Masoko Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Irene Mbonde, na Mkurugenzi wa hospitali ya JKCI-Dar Group, Dk. Tulizo Shem wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa zoezi la kufanya vipimo vya moyo na...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar Kuimarisha Ushirikiano kwenye maeneo ya kimkakati

    Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili. Waziri wa Mambo ya Nje na...
  16. JamiiForums Tanzania Chuo cha NDC chahitimisha mafunzo ya muda wa wiki 47, ujumbe watolewa "Tumieni maarifa kuimarisha ulinzi na maendeleo"

    Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence College - NDC) kimehitimisha rasmi mafunzo ya muda wa wiki 47 (kuanzia Septemba 2024 hadi Julai 2025), kwa viongozi waandamizi wa Jeshi, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi wa Serikali, kutoka Tanzania na mataifa mengine. Mafunzo hayo...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Mambo muhimu aliyofanya Hayati Benjamin Mkapa kuimarisha Demokrasia nchini

    Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa Tanzania, aliweka mkazo katika mambo sita (6), yafuatayo; ‬ ‪1. Lengo la demokrasia ni kurejesha nguvu na madaraka kwa wananchi kutoka katika mikono ya watawala.. ‬ ‪2. Demokrasia ya uwakilishi inatakiwa kutupatia viongozi wanaoamua kwa niaba yetu na...
  18. JamiiForums Tanzania INEC iliundwa ili kuhakikisha chaguzi zetu zinakuwa za Haki, Huru na zakuaminika

    Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika. Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
  19. JamiiForums Tanzania Jenista Mhagam: Serikali imepanga kutumia Sh Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya

    Serikali imeazimia kutumia Shilingi Bilioni 161. 3 za Mfuko wa pamoja wa Afya kwa ajili ya kuboresha na kuimarisha mifumo ya afya nchini ili kutoa huduma bora za afya ya msingi kwa wananchi sambamba na kupunguza vifo vya watoto vitokanavyo na uzazi na kuimarisha huduma za bima ya afya kwa wote...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yatoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98 kuimarisha sekta ya elimu Mbeya na Mtwara

    Serikali imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98.893 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu katika mkoa wa Mbeya na Mtwara. Fedha hizo zimetolewa kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari-SEQUIP kwa ajili ya kukarabati shule kongwe, kujenga shule mpya, madarasa, nyumba za walimu, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…