kuimarisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Tazama namna ya kuongeza na kuimarisha mzunguko wa hewa ya oksijeni mwilini

    https://www.businessinsider.in/science/health/news/covid-19-what-is-proning-and-how-can-it-help-you-increase-oxygen-levels-at-home/articleshow/82251671.cms
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Posta yajidhatiti kuimarisha huduma zake jijini Dodoma

    POSTA YAJIDHATITI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE JIJINI DODOMA. Na mwandishi wetu- Dodoma Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Macrice Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka, kwenye Ofisi za Mkuu huyo wa Mkoa, Jijini Dodoma. Kikao hicho...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji wake wote kuanzia ngazi ya chini Kabisa

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe alipokuwa anahitimisha mpango wa Operesheni Haki Mkoani Morogoro. Mbowe ambaye sasa anaitwa Mtemi Isike, baada ya kusimikwa huko Tabora , amesema kwamba Chama chake sasa kinataka viongozi wake wafanye kazi moja tu ambayo ni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayoyafanya yanaimarisha nchi yetu

    Wana bodi. Kama wale watafiti wakija kuwahoji wananchi kuhusu furaha yao kwa sasa,hakika hatutakuwa wa mwisho tena,tutakuwa miongoni mwa nchi tano zenye furaha Duniani. Sasa kwa maoni yangu,Huu muhula Rais Samia kaudakia katikati,lakini ni.moja ya Viongozi bora kuwahi kutokea. Hapendi...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports. The Minister for Works, Transport and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…