kuhama chama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Kumbikizi: Yericko Nyerere aliwahi kusema atakayepigwa kwenye uchaguzi wa ndani wa CHADEMA hakuna kuhama chama, ila leo kiko wapi?

    Wakuu mnakumbuka hii kutoka kwa Yericko Nyerere? Alipokuwa akihojiwa siku ya uchaguzi wa CHADEMA kwa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, alisema kuwa ukipigwa hakuna kuhama chama lakini baada ya timu yake kupigwa ameshindwa kuvumilia😂
  2. DuaZaMama

    SI KWELI PreGE2025 Msigwa: Nikikatwa jina nahama chama maana kuhama chama sio dhambi

    Wakuu kuna ukweli wa hizi taarifa?
  3. Just Pray

    GE2025 Mjumbe CCM amuuliza Peter Msigwa kama atahama chama andapo atashindwa kura za maoni, Msigwa asema kuhama sio kosa la jinai, inategemeana na mazingira

    Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.
  4. Mindyou

    PreGE2025 Chama cha ADC chatangaza kupokea wanachama 30 kutoka CCM, ACT na CHADEMA

    Hivi kuna namna tunaweza tukawa tunajiridhisha na hizi statistics zinazotolewa na hivi vyama vya siasa? Yaani hapa tunapigwa mchana kweupe! Nani na akili zake timamu aache CCM, CHADEMA au ACT ahamie ADC? ===================== Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimepokea zaidi ya...
  5. F

    CHADEMA tuwe makini, huku kuhama Chama kila wilaya kunakoendelea nadhani kuna mkono wa CCM

    Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu. Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa...
  6. Inside10

    Askofu Dr Bagonza: Mwongozo wa Kuhama Chama

    MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama: 1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
  7. Ileje

    Timu Mbowe si tulikubaliana hakuna kuhama Chama?

    Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga? Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia...
  8. W

    PreGE2025 Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA

    Benson Kigaila ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara amesema yeye na Wanachama wenzake wamejitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na yanayoendelea Ametangaza uamuzi huo akiwa pamoja na aliyekuwa Makamu wa CHADEMA Taifa - Zanzibar, Salum Mwalimu, aliyewai kuwa Katibu Mkuu wa...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Wapinzani 200 akiwemo diwani wa ACT Wazalendo wahamia CCM

    Wanachama wa vyama vya upinzani 200 wa wilaya ya Tunduru akiwemo diwani wa kata ya Mchoteka kupitia tiketi ya Chama Cha Act Wazalendo Seif Dauda, katibu wa wilaya ya Tunduru wa Chama Cha Act Wazalendo Said Mponda, wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi 2/4/2025 baada ya kumkabidhi kadi za uwanachama...
  10. J

    Tetesi: CHADEMA ‘Nusu Mkate’ wote wanahamia CCM February 5 akiwemo Wenje, Sugu na Boni Yai

    Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa u-Star Mrema akahamia NCCR Mageuzi ulikuwa u-Star Funga KAZI Laigwanan Lowassa akahamia CHADEMA...
  11. M

    Kwanini team Lissu watashia kuhama chama?

    Uchaguzi wote upo live, na hata waliokatwa kumbe sio wapiga kura wa kesho. Waliokatwa uchaguzi wao utakuwa kesho kutwa Sababu kubwa ni ipi?
  12. SIPENDI SIASA

    Mbunge au Diwani, akifa au kuhama chama, achaguliwe mwingine wa chama kile kile na kamati ya Wilaya au Mkoa. How does this sound?

    Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound.. Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi.. ~ SIPENDI SIASA ~
  13. J

    Mnaohama vyama jifunzeni Hekima kutoka Kwa Prof Kitila Mkumbo

    Wewe ukishahama chama jikite na ya huko ulikohamia Ili kuimarisha Ofisi Yako Mpya Kule ulikotoka mabaya yao waachie wenyewe Kumkumbuka mliyeachana ni dalili za Wivu Jumaa Mubarak 😀😀 Soma Pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
  14. Tlaatlaah

    Tetesi: Kiongozi mashuhuri upinzani kitimkia CCM wakati wowote kuanzia sasa

    Je, ni nani na ni kutoka chama gani cha upinzani? Ni suala la muda tu linalosubiriwa ili muungwana huyo aweke wazi uamuzi wake huo muhimu, ambao pia ni haki na uhuru wake kikatiba. Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra. Unahisi amechochewa na nini kufikia na kuchukua uamuzu huo?
  15. kavulata

    PreGE2025 Wapinzani ogopeni wanachama walionunuliwa bila kuchukuliwa

    Wapo wanachama ndani ya vyama vya siasa wanaoshikilia misimamo ya kupinga agenda zitakazokiimarisha chama. Ndani ya vyama wamo wanachama ambao wamenunuliwa bila kuchukuliwa. Unaweza kumnunua mbuzi wako halafu ukamuacha palepale kwa mfugaji kwa muda au milele aendelee kuzaa kutokana na sababu...
  16. Wafuasi wa Rais

    Mwanasiasa nchini Tanzania ambaye kamwe hawezi kuhama chama chake ni Rais pekee

    Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais. Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi yake. Hawezi kuisaliti. Mwanasiasa yeyote anaweza kuisaliti itikadi ya chama chake cha siasa na...
  17. S

    Hama hama ya viongozi wa CHADEMA inarudisha nyuma hamasa ya vijana kuupambania upinzani

    Siku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA. Hata walipofuata wengine akina Mashinji, Katambi, n.k hakuna aliyestuka tena, maana watu waliwapuuza. Ni muda umepita sasa, hatujashuhudia hizi...
  18. Allen Kilewella

    PreGE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
Back
Top Bottom