kufanya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kumbe Rais Samia ndiye alitoa ruhusa ya kufanya siasa?

    Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais. Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
  2. Kujitenga na Siasa ni Kufanya Siasa

    Habarini wanaJF, mara kadhaa nimekua nikijiuliza. Hivi kweli inawezekana mtu akaamua kabisa kabisa kijitenga na siasa?? Nimekuja gundua kwamba, kwa hali ya kawaida kabisa, "hapana", haiwezekani mtu kujitenga na siasa, kwa sababu siasa ndiyo inaunda mfumo unaogusa kila kipengele cha maisha ya...
  3. GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  4. Kwa miaka 5 Polepole alizunguka nchi mzima kuinadi CCM na Magufuli, upinzani walikatazwa kufanya siasa 2020 bado wakapora uchaguzi

    Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku? Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
  5. Mzee Cheyo ana familia kweli? na kama ipo wajitafakari kwa hali hii aliyonayo wanamruhusu vipi kufanya siasa badala kupambania Afya yake

    Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake. Namshauri apambanie Afya yake kwanza. Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia matatizo zaidi ya kiafya. https://www.facebook.com/share/v/1Akh38Vb5f/
  6. GE2025 Isihaka Mchinjita kuhusu Luhaga Mpina, asema ACT Wazalendo inawakaribisha watu wote waliokosa fursa kwenye vyama vyao

    Wakuu Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
  7. Naomba nakala ya hukumu ya Jaji Mwanga iliyokataza Chadema kufanya siasa

    Nimefuatilia mapambano kati ya polisi na Chadema, kwa sababu ya hukumu ndogo iliyotolewa na Jaji Hamidu Mwanga hivi karibuni. Jaji Mwanga, anasikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na...
  8. Rasmi Viongozi wote wa Chadema wapigwa stop kufanya siasa

    GT Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama. Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha 😄 🤣 😂 😆 Dunia simama...
  9. Nini kitawakuta wanachadema wakishiriki uchaguzi huku mahakama imewazuia kufanya siasa?

    Viongozi wa Chadema wamezuiwa kushiriki siasa kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya kila raia kuchagua na kuchaguliwa! Sasa endapo watashiriki kusikiliza kampeni ya mgombea yeyote yule litakuwa ni kosa la jinai? Watanzania tuna majaji wa aina gani wanaovunja katiba ya nchi ili mradi...
  10. W

    PreGE2025 Kanisa la FPCT lawataka watia nia kufanya siasa safi

    Baada ya Serikali kutangaza kuvunja mabaraza ya madiwani kote nchini huku Juni 27 mwaka huu Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kuvunja Bunge 12 ili kupisha mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba mwaka huu Kanisa la FPCT Tanzania limewataka viongozi...
  11. PreGE2025 Sheikh Ponda: Viongozi wa Dini ndio waasisi wa siasa na ubunifu wa fikra za kupigania uhuru Tanzania. Sitoacha kufanya siasa

    Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo geni. Katika Historia ya nchi yetu, chama cha kupigania uhuru kimeanza 1929 cha Africa Association...
  12. O

    Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  13. D

    CHADEMA ina mwezi na nusu tu wa kufanya siasa!

    Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
  14. Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

    Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
  15. Hivi Jeshi la Polisi linatumia kisingizio Cha intelelejinsia kuminya haki ya kufanya siasa Kwa chama Cha CHADEMA?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
  16. T

    Kufanya siasa za upinzani Tanzania ni kupoteza muda fedha na kujishushia hadhi mfumo wote umeundwa kukibeba chama tawala

    Mwenye macho haambiwi tazama kwa mfumo wa uongozi wa taifa letu ambapo rais anakuwa na nguvu nyingi kiwango kinachomfanya hata asie mkubali kujipendekeza kwake ni ngumu sana kwa wapinzani kuambulia chochote sanasana watakacho ambulia ni kile ambacho watawala wametaka. Tunadanganywa kwamba eti...
  17. D

    Rais Samia aliwapa uhuru wote na platform ya kutangaza sera zao na kujinadi baada ya kufungiwa na Hayati Magufuli

    Vyama vya upinzani kwa sasa vimekosa mvuto kabisa kwa sababu ya kukosa maarifa na kutotambua waongee lipi na waache lipi. Fikiria, Rais Samia aliamua kuwafungulia kutoka kifungo cha kutofanya siasa for almost 5 years na baadhi walikimbia nchi. Mama akawafata huko huko na kuwarudisha. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…